dazipozi JF-Expert Member Joined Nov 5, 2011 Posts 1,137 Reaction score 106 Jan 17, 2012 #121 Kongosho said: wewe ni moshi mweusi Click to expand... kivipi yani?,Mx
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,473 Jan 17, 2012 #122 Kongosho said: Kuna wakati unapenda ukimya wako ili ufikiri au to clear your mind. lakini ukimya huu sio lazima ujifungie, something like 'staring outside' Click to expand... Me likeyyy. . . . Unaonaje nikikupa cheo cha mtabiri mkuu wa jukwaa?
Kongosho said: Kuna wakati unapenda ukimya wako ili ufikiri au to clear your mind. lakini ukimya huu sio lazima ujifungie, something like 'staring outside' Click to expand... Me likeyyy. . . . Unaonaje nikikupa cheo cha mtabiri mkuu wa jukwaa?
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,473 Jan 17, 2012 #123 Smiling Saint said: here ts cool Click to expand... Over there it' s hot.
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,110 Jan 17, 2012 #124 Kongosho said: hadi naandika hapa mfafanuzi wa kampuni hayupo, nitaendelea kumtafuta kwa taarifa zaidi. Click to expand... mpaka sasa pamoja na mcharuko nimejua pia kwa ubishi wewe umo, ukinibishia wewe mbishi, bora ukubali tuuu
Kongosho said: hadi naandika hapa mfafanuzi wa kampuni hayupo, nitaendelea kumtafuta kwa taarifa zaidi. Click to expand... mpaka sasa pamoja na mcharuko nimejua pia kwa ubishi wewe umo, ukinibishia wewe mbishi, bora ukubali tuuu
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Jan 17, 2012 Thread starter #125 staili ya figganiga 'nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudi' dazipozi said: kivipi yani?,Mx Click to expand...
staili ya figganiga 'nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudi' dazipozi said: kivipi yani?,Mx Click to expand...
bht JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 10,336 Reaction score 1,880 Jan 17, 2012 #126 Lizzy said: Hahaha. . .ngoja nirudi embu, sijui ntakukuta. Wapenda familia, you is a family woman. Click to expand... Hehehe tatizo unaharakisha sana bana...lol! Simama hapo hapo nije nikuchukue ushafika...lol!
Lizzy said: Hahaha. . .ngoja nirudi embu, sijui ntakukuta. Wapenda familia, you is a family woman. Click to expand... Hehehe tatizo unaharakisha sana bana...lol! Simama hapo hapo nije nikuchukue ushafika...lol!
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,110 Jan 17, 2012 #127 Lizzy said: Over there it' s hot. Click to expand... so after being hot then ukaamua kujificha hapa ili kuenjoy hiyo cold weather?
Lizzy said: Over there it' s hot. Click to expand... so after being hot then ukaamua kujificha hapa ili kuenjoy hiyo cold weather?
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,110 Jan 17, 2012 #128 bht said: Duuh!! Mbali sana, usifananishe the 'looks' bana! Click to expand... haya ngoja nije nijipange kukudadisi... then nitakwambia....
bht said: Duuh!! Mbali sana, usifananishe the 'looks' bana! Click to expand... haya ngoja nije nijipange kukudadisi... then nitakwambia....
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Jan 17, 2012 Thread starter #129 ha ha ha Nihonge basi hata LIKE jamani hujanipa kwa kipindi kirefu kweli Lizzy said: Me likeyyy. . . . Unaonaje nikikupa cheo cha mtabiri mkuu wa jukwaa? Click to expand...
ha ha ha Nihonge basi hata LIKE jamani hujanipa kwa kipindi kirefu kweli Lizzy said: Me likeyyy. . . . Unaonaje nikikupa cheo cha mtabiri mkuu wa jukwaa? Click to expand...
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,110 Jan 17, 2012 #130 Kongosho said: sidhani kama ntabadili karibuni kwa sasa hiyo inanielezea kwa kiwango fulani. Click to expand... sipati picha siku moja tukiambiwa tupambe avatar zetu majumbani mwentu kuna baadhi mtazificha uvunguni!!
Kongosho said: sidhani kama ntabadili karibuni kwa sasa hiyo inanielezea kwa kiwango fulani. Click to expand... sipati picha siku moja tukiambiwa tupambe avatar zetu majumbani mwentu kuna baadhi mtazificha uvunguni!!
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Jan 17, 2012 Thread starter #131 sio mbishi ni slow learner kunielewesha kazi kidogo Smiling Saint said: mpaka sasa pamoja na mcharuko nimejua pia kwa ubishi wewe umo, ukinibishia wewe mbishi, bora ukubali tuuu Click to expand...
sio mbishi ni slow learner kunielewesha kazi kidogo Smiling Saint said: mpaka sasa pamoja na mcharuko nimejua pia kwa ubishi wewe umo, ukinibishia wewe mbishi, bora ukubali tuuu Click to expand...
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,227 Jan 17, 2012 Thread starter #132 he he he, ungejua navyoipenda?!!! Smiling Saint said: sipati picha siku moja tukiambiwa tupambe avatar zetu majumbani mwentu kuna baadhi mtazificha uvunguni!! Click to expand...
he he he, ungejua navyoipenda?!!! Smiling Saint said: sipati picha siku moja tukiambiwa tupambe avatar zetu majumbani mwentu kuna baadhi mtazificha uvunguni!! Click to expand...
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,110 Jan 17, 2012 #133 Kongosho said: sio mbishi ni slow learner kunielewesha kazi kidogo Click to expand... thanks for the proof maana hadi hapo umeshabisha
Kongosho said: sio mbishi ni slow learner kunielewesha kazi kidogo Click to expand... thanks for the proof maana hadi hapo umeshabisha
bht JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 10,336 Reaction score 1,880 Jan 17, 2012 #134 Kongosha mwaya nilikuwa nakujibu wewe, Lizzy kadesea jibu lako nahisi hadi namba yako ya mtihani kakopi...lol! Lizzy, Kongosho atakuwa msoma nyota huyoo!
Kongosha mwaya nilikuwa nakujibu wewe, Lizzy kadesea jibu lako nahisi hadi namba yako ya mtihani kakopi...lol! Lizzy, Kongosho atakuwa msoma nyota huyoo!
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,110 Jan 17, 2012 #135 bht said: Kongosha mwaya nilikuwa nakujibu wewe, Lizzy kadesea jibu lako nahisi hadi namba yako ya mtihani kakopi...lol! Lizzy, Kongosho atakuwa msoma nyota huyoo! Click to expand... BHT nimehisi ni BAHATI
bht said: Kongosha mwaya nilikuwa nakujibu wewe, Lizzy kadesea jibu lako nahisi hadi namba yako ya mtihani kakopi...lol! Lizzy, Kongosho atakuwa msoma nyota huyoo! Click to expand... BHT nimehisi ni BAHATI
dazipozi JF-Expert Member Joined Nov 5, 2011 Posts 1,137 Reaction score 106 Jan 17, 2012 #136 Kongosho said: staili ya figganiga 'nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudi' Click to expand... ahaaaaa!!mimi sio yule bwa ako Tozi ukilala unaniota mimi,Mx
Kongosho said: staili ya figganiga 'nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudi' Click to expand... ahaaaaa!!mimi sio yule bwa ako Tozi ukilala unaniota mimi,Mx
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,473 Jan 17, 2012 #137 bht said: Hehehe tatizo unaharakisha sana bana...lol! Simama hapo hapo nije nikuchukue ushafika...lol! Click to expand... Nimesimama hapa dakika kumi sasa, kuna vijana wamekaa upande wa pili wananiangalia na kunong'onezana tu. . . .embu harakisha bana.
bht said: Hehehe tatizo unaharakisha sana bana...lol! Simama hapo hapo nije nikuchukue ushafika...lol! Click to expand... Nimesimama hapa dakika kumi sasa, kuna vijana wamekaa upande wa pili wananiangalia na kunong'onezana tu. . . .embu harakisha bana.
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,473 Jan 17, 2012 #138 Smiling Saint said: so after being hot then ukaamua kujificha hapa ili kuenjoy hiyo cold weather? Click to expand... Not really. . .nazichanganya nipate hali iliyotulia.Si joto sana wala baridi sana.
Smiling Saint said: so after being hot then ukaamua kujificha hapa ili kuenjoy hiyo cold weather? Click to expand... Not really. . .nazichanganya nipate hali iliyotulia.Si joto sana wala baridi sana.
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,473 Jan 17, 2012 #139 Kongosho said: ha ha ha Nihonge basi hata LIKE jamani hujanipa kwa kipindi kirefu kweli Click to expand... Nipo viamobile mpenzi. . . nikumbushe siku ukiona signature yangu chini ya post.
Kongosho said: ha ha ha Nihonge basi hata LIKE jamani hujanipa kwa kipindi kirefu kweli Click to expand... Nipo viamobile mpenzi. . . nikumbushe siku ukiona signature yangu chini ya post.
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,473 Jan 17, 2012 #140 bht said: Kongosha mwaya nilikuwa nakujibu wewe, Lizzy kadesea jibu lako nahisi hadi namba yako ya mtihani kakopi...lol! Lizzy, Kongosho atakuwa msoma nyota huyoo! Click to expand... Lolzzz. . . Nilitaka kupinga na wewe urafiki ila sitaki tena.
bht said: Kongosha mwaya nilikuwa nakujibu wewe, Lizzy kadesea jibu lako nahisi hadi namba yako ya mtihani kakopi...lol! Lizzy, Kongosho atakuwa msoma nyota huyoo! Click to expand... Lolzzz. . . Nilitaka kupinga na wewe urafiki ila sitaki tena.