Hahhaaaaa Malaika unayetabasamu umeniacha hoi eti nilikuja juu....hamna bana nilirukaruka ujue!mkuu umenikumbusha mbali kuna siku mtu mmoja alifananisha identity na barbara hassan ,..... ulivyokuja juu!!! teh teh hatasahau i guess..... ila kiukweli kidogo ufanane na kipanya
Smart woman!unapenda sana familia na unamjali sana mmeo
mpaka hapa nshajua wewe ni mcharuko
Nimekaribia na ukweli eeh?
Imefika stendi ya mkoa. . . .
Umekaribia hasa ungeingia geti la kushoto hapo ungenikuta...lolHujakaribia. . . jaribu kwangu.
Hahhaaaaa Malaika unayetabasamu umeniacha hoi eti nilikuja juu....hamna bana nilirukaruka ujue!
Umeshindwa kubashiri bana, jaribu tena, ukibidi nikupe ka hint kaduuchu...
mie nakubali mcharuko sana
kuanzia shingoni kuja kichwa cha kichwani
huko kwingine, am a saint
sasa wewe ni vice verse wa mimi
saint kuanzia shingoni kuja kichwa cha kichwani
kulikobaki full mcharuko
Kuna wakati unapenda ukimya wako ili ufikiri au to clear your mind.
lakini ukimya huu sio lazima ujifungie, something like 'staring outside'
au tuihamishie hapa tuendeleee tu? unaonaje? mwisho wa siku what was the point there?
What is the point here?[/QUOTE
here ts cool
Duuh!!ah hah hah enewei unajaribu kukaribiana pia na Evansi Bukuku
Umekaribia hasa ungeingia geti la kushoto hapo ungenikuta...lol