Nnacho mkwe,nitakukodisha. Tena cha kidhungu,ukifanikiwa kusoma basi NN hakusumbui tena.
Mi nahisi tunalogana,ujue mtu na mkwewe wanatakiwa wawe wanagombana. Tugombane next wknd basi juu ya kope
Nnacho mkwe,nitakukodisha. Tena cha kidhungu,ukifanikiwa kusoma basi NN hakusumbui tena.
Mi nahisi tunalogana,ujue mtu na mkwewe wanatakiwa wawe wanagombana. Tugombane next wknd basi juu ya kope
mkwe mchumi!!! kukodi na hela kuazimwa bure. mi nataka kuazimwa. next wk tugombane kweli, ni kinyume na taratibu za ndoa kwa mtu na mkwewe kupatana. lol
Mikataba feki na Rejao avatar zenu zinanichekesha, halafu features zenu kama zinafanana kidogo, mna maneno machache lakini critical ila Rejao X-Ilborian mwenzangu kuna kitu unaniboa kushabikia mafisadi na wahujumu uchumi wa Tanzania.
Mwanakijiji one of members walinivutia kuipenda JF tangu mwaka 2006 when I was just a guest, the great thinker akiwa na avatar ya mzee alobeba jembe........ maarufu zaidi kwenye jukwaa la siasa