Umejuaje,huwa sihangaiki na outlook ati,ww vp unapenda kipi?Cantalisia ww inaelekea unapenda inside beauty.
Habari yako binafsi mamito,tafathali naomba kujua km kuna uwezekano wa kubadilisha hilo bunduki kwenye hiyo avatara yako na ukawa umeshika kabastola jamani!hilo likuwa na linatishalol!Indecently delicious?! What ar u implying?
Afu utuelezee na avatar ya the boss (itasaidia kuelewa why dd u fall for it/him),lol
Mie avatara ya my broda pakajimmy lol yani inaonekana ni mkali and very serious kias kwamba ikitokea hata inzi akamgusa atampa kipigo ya mwizi!
Ushajiunga na CCM?ki uhalisia huwezi amini alivyo mpole, mcheshi na mwenye upendo uliotukuka
Kweli kuna siku nimuuliza akanambia nikuulize,mwanzoni nilikuwa naiogopa hata nikichangia sred zake sikusubutu kuweka utan,ki uhalisia huwezi amini alivyo mpole, mcheshi na mwenye upendo uliotukuka
"cantalisia na preta" mnazungumziaje avater yangu?Kweli kuna siku nimuuliza akanambia nikuulize,mwanzoni nilikuwa naiogopa hata nikichangia sred zake sikusubutu kuweka utan,
Asante Preta,
Na wewe ikla nikiangalia avatara yako nahis ww ni mpole ila mtu akikuzingua ni balaa nimepatia au?
Du ndugu yangu kwanza sijui hapo ndio unapokea nn coz kuna huo mwanga uliotumika hapo umekaa kianjelic flan,but binafsi nahis km mtu flan mwenye kautakatifu kadogo km sehemu ya mkono inavyoonyesha,sijui nimepatia?"cantalisia na preta" mnazungumziaje avater yangu?
Yani ww tunafanana kbs,outlook inarekebishika ila innerbeauty ya mtu kamwe huwezi kuibadilisha,japo wengi huwa hawajali sn!Inside na ni vitu ambavyo wengi huviona less important mie ndo huni-impress