Mm nataka anipendae aniletee zawadi
πππππwewe Dada sichokagi kusoma post zako, maana wewe kila Siku ni mahaba. Hongera kwa kuwa na amani ya moyo hasa mahusiano. It seems MUngu alikupendelea km enye hii sector.Natumai kama yupo humu amekusoma na atafanyia kazi matamanio yako. Na kama natumia humu, basi uvuvio wa Krismas umpitie akuletee zawadi as you wish....
Nakutakia Heri na Fanaka na Krismas na Mwaka Mpya.
πππππwewe Dada sichokagi kusoma post zako, maana wewe kila Siku ni mahaba. Hongera kwa kuwa na amani ya moyo hasa mahusiano. It seems MUngu alikupendelea km enye hii sector.
Happy xmass in advance
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kenzy, ombi lako limepokelewa, nalifanyia mchakato ili iwe fair mwisho wa siku tutaona njia ipi ni sahihi, LIFO au FIFO, au ichezeshwe draw na jina litaloibuka basi itakuwa fairly date with Matata the K.
Miss, nakuombea haja ya moyo wako itimie.
Hapa wahitaji opposite sex japo sijamaanisha for sex but to chemistry well. Japo akiwa mdada pia itafaa Ila mie naomba awe mkaka anayejielewa mwenye shekeli zake sio wa kwenda kukupa stress...
Jamani wakaka wenye staha, mnaojielewa wenye makoromeo yenu, Miss is on this Christmas please set the date with her and share the peace and harmony.
Shogaa, anza kujipampa for the date kafanye manicure and pedicure, whole body massage, treat your hair nicely drink enough water for your skin and get ready for the date.
All the best, usiache kuniletea chocolate after the date please.
Matata the K.
Nahitaji nikapate faraja ya moyo wangu kwa kutafakari wapi nilipo na niendako baada ya kumalizika mwaka nikiwa kwenye hotel moja matata sana flow ya kumi nalicheki jiji la dar nikiwa na glass ya wine mkononi lakini pembeni nikiwa na mtoto mmoja mkali sana so memba wa kike ambaye anajiamini ni chombo ya maana tarehe 24 anicheki mapemaaa.
NAZIDI KUOMBA mke wangu mpenzi, mke halali wa ndoa takatifu, ambaye ndiyo kwanza tumeanza safari hii ndefu, akazidi kuwa na afya bora, amani, baraka na furaha zaidi, Mungu atusaidie nasi tuje tukione kiumbe kilicho tumboni mwa mke wangu kikiwa na afya tele, asante sana kwa ujumbe wako mzuri, nakupenda, heri na fanaka katika msimu huu wa Sikukuu! Barikiwa!