usijali nipo nafanya maandalizi kukunasua kutoka kwa huyo mzeeLooh hapo ndo huwa simuelewi huyu Babu anatumia kizizi gani kutufumba macho...
Natambua sana kuwa humu ana mke na michepuko kibao ila sibanduki kwenye malabuku zake, nisaidie basi kunitoa kwake maana najiona nshafeli Homie...
You know we are cousins, don't let your cousin end up in polygamy relationship please....
Kasie karibu tumsaidie na huyu binti yetu hapaView attachment 1271625
I wish to be Home with my Mom Rhoda
[emoji29][emoji29][emoji29] Niliko saivi ni mbali na nyumbani najua pia sitapata nafasi ya kwenda kwa saivi hii ndo itakua Christmas yangu Kwanza toka nizaliwe kuwa mbali na nyumbani i feel [emoji29][emoji29]
Kasie Mahaba Matata Kumbe bata ujaanza leo?? Dah jamaa alioa mwingine wewe ulikwama wapi?? Umejuaje na mimi niko chuo mbali mbali na nyumbani basi nikiwaza napata shida sana jana ananipigia simu anajua niko nyumbani eti mwanangu njoo unione nilivyopendezaOoh Nkundwe, polee umenifanya nisikitike nawe. Usijali kama hutawahi mwaka mpya basi natumai panapo uzima utajumuika na mama msimu wa Pasaka.
Umenifanya nikumbuke wakati niko chuo safari moja nikaenda kula Xmas na boifrendi ndo ilikuwa Xmas yangu ya kwanza kuwa mbali na nyumbani.... Na tulisafiri masafa marefu mbali na bongo nilikiwa naogopa... What if tukitekwa, tukipata ajali... Nilikiwa kadogoo halafu very innocent yaani.
Though niliinjoi sana kumbe boifrend alikuwa ananipa bata la kuniaga anaenda kuoa looh sina hamu wanaume nyie....
Kasie Mahaba Matata Kumbe bata ujaanza leo?? Dah jamaa alioa mwingine wewe ulikwama wapi?? Umejuaje na mimi niko chuo mbali mbali na nyumbani basi nikiwaza napata shida sana jana ananipigia simu anajua niko nyumbani eti mwanangu njoo unione nilivyopendeza
[emoji3][emoji3][emoji3] Umenichekesha hapa ngoja hii christmas niitumie ipasavyo na mimi nile bata ngoja nijichange change hapaDaah wee acha tuu ndugu yangu na umri huu 50 plus nimeona mengi.....
Sitaki hata kujua nilikwama wapi japo baadae aliniambia alishinikizwa na wazazi kuoa mtu wa kwao waliotoka wote kaskazini.... Mie chotara Wa kinyanwezi ntaitwa Chasaka nyaambaaffff nikamuangalia nikamuona hivii tuu nikaendelea na maisha yangu.
Wakati Wa chuo ndo wa kula bata Ila shule pia ipe kipaumbele ukipata supu ujue unainywa mwenyewe na mie migi na vibomu sikuviweza.
Tafuta namna ya kumsemesha mama, asikutafute Xmas akapandisha presha. Mie nakumbuka niliaga niko kwa dada binamu na familia yake wamesafiri nami nimesafiri nao hivyo sikutafutwa hadi narudi chuo salama.
Mungu wetu na wenu ni vitu mia tofauti!Acha kuhararisha sherehe za kishetani na Mungu jua,maana Christmas ni conspiracy theory zilizoanzishwa na wayahudi ko kuweni makini na tunapoelekea sawa ndugu zangu nawapenda sana.
Pole sana MwakyondeKasie Mahaba Matata Kumbe bata ujaanza leo?? Dah jamaa alioa mwingine wewe ulikwama wapi?? Umejuaje na mimi niko chuo mbali mbali na nyumbani basi nikiwaza napata shida sana jana ananipigia simu anajua niko nyumbani eti mwanangu njoo unione nilivyopendeza
she is 10 years old homie, uje umchukue uende nae huko mall maana hii list yake sio mchezo....akifika 20's sijui itakuaje!!Homie .....
How old is she?? Cause huyu ni Wa kwenda nae mall kabisaa aki peak item I swipe the card aahahahhaa vinginevyo mnanuniana Christmas nzima.
Ila baada ya hapo ajiandae na home chores, she won't get things for free aahahahhaa....let she be alerted...
Let's go, auntie najimwambafy hapa mwambie hakuna Matata with auntie K Matata.
Ohhh!I wish niende holiday somewhere na mtu ambae naweza kumtrust,tupige story,tuogelee tule misosi mizuri.na simple shopping ya nguo mbili tatu basi.am so lonely
Ndaga fijoPole sana Mwakyonde
Naloli nkundwe utwambomboNdaga fijo
Miss Natafuta anahitaji nini yeye, niambieHivi Kabanga maana yake nini?
Umeliona hitaji la Miss Natafuta?