What do you wish for 2019 Christmas?

What do you wish for 2019 Christmas?

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,801
Reaction score
43,177
Holla,

Msimu wa sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya ndo umeingia.

Sijajiunga na kifurushi chochote cha kimiminika ila nasikia tuu ulimi unataka kutereza kimalkia. Ngoja nishindane nao, ila kichwa cha uzi kitabaki hivyo hivyo, laah nikifika mwisho naweza kubadili lugha.

Haya twende pamoja...

Utamaduni wa kimagharibi leo tarehe 23 November wanaita Black Friday yaani Ijumaa Nyeusi. Hii ni mahsusi kwa wafanyabiashara wanaouza vitu kushusha bei ya bidhaa zao ili kuwapa nafasi watu wenye uwezo wa chini/ mdogo kununua vitu kwa ajili ya wapendwa wao kama zawadi ya Christmas.

Akina sie tuliobahatika kuishia modern nursery school za wakati ule wa mkoloni tunafundishwa na Waingereza wenyewe, hadi lafudhi tuliipata ya Kiingereza sema baada ya darasa la nne ndo ikawa basi tena shule ikaishia hapo ila si haba ulimi bado unatereza utasema nimepitia Cambridge kumbe grade four, aahahahahaaa!

Tulishasikia kuhusu hii Black Friday yote ikiwa na lengo la kusambaza upendo during the Festive Season.

Kasie Matata mie maneno mengii ngoja nipunguze, turejee kwenye lengo la uzi.

Sasa leo nilienda duka moja hivi nao walikuwa na punguzo la bei za bidhaa zao si haba nikapata wasaa wa kujinunulia vitu ntavyovihitaji wakati wa Christmas.

Nikiwa nazunguka kwenye mashelf ya hizo bidhaa nikakumbuka wana JF, siko tajiri, sina uwezo sanaa wala sina pesa ya ziada ambayo haina matumizi ila, ningependa pale ulipo unaposoma uzi huu useme...

Ni kitu gani unatamani ungekipata au ungekuwa nacho kipindi cha Christmas ya mwaka huu 2019, ambacho kiko nje ya uwezo wako kukipata?! Huwezi jua naweza kuwa Granny Christmas to you au memba yeyote humu JF...

Taja kile kitu kweli unahitaji na si kuwa ni mie tuu ndo ntakupatia hicho kitu, kupitia huu uzi anaweza akaja mtu mwingine ana hivyo vitu vya ziada akagawana na wewe au akavinunua mahsusi kwa ajili ya uhitaji wako na wote tukajikuta tunasherehekea Christmas kwa tabasamu.

Sambaza upendo, eneza amani kipindi hiki cha msimu wa sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya.

images (1).jpeg
Mie nshapamba mti wa Christmas, wewe je?

Wishing all MMU members a Merry Christmas and Happy New Year 2020 mmuuah!!

Mahaba matata kwa Captain.

Kasinde.
 
I only wish to be happy

And the thing you wish (happiness) comes from within, no one will bring you happiness in your life, neither children, parents, spouse nor friends it's only you.

Choose to be happy and be happy then happyness will follow and be with you for the rest of your life.

Whenever sorrow comes, happiness will overcome the sorrow and you'll find joyous from inner you to the outer world.

Believe and live that.

Cheers Mobutu.
 
Nahitaji furaha ya moyo tu

Furaha ya moyo inapatikana moyoni mwa mtu husika. Wewe ndo unamaamuzi kuwa uwe na furaha au huzuni. Hata kama watu wengine wanakuletea huzuni bado muamuzi wa kuwa uendelee kukaa kwenye hali ya huzuni au furaha ni wewe.

Shiriki kuwapatia wengine furaha, wakifurahi nawe utafurahi, ukiwa kwa asilimia kubwa unawahuzunisha wengine huzuni haitakaa mbali na wewe.

Kila la kheri nakutakia ukawe na furaha tele kipindi hiki cha msimu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya 2019.

Matata the K.
 
Thank you so much Kasie your words are of great help to me,
 
Furaha ya moyo inapatikana moyoni mwa mtu husika. Wewe ndo unamaamuzi kuwa uwe na furaha au huzuni. Hata kama watu wengine wanakuletea huzuni bado muamuzi wa kuwa uendelee kukaa kwenye hali ya huzuni au furaha ni wewe.

Shiriki kuwapatia wengine furaha, wakifurahi nawe utafurahi, ukiwa kwa asilimia kubwa unawahuzunisha wengine huzuni haitakaa mbali na wewe.

Kila la kheri nakutakia ukawe na furaha tele kipindi hiki cha msimu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya 2019.

Matata the K.
Kweli mkuu, ngoja nijipange nitafute angalau hata bendi ije itumbuize hapa kwa familia yangu kwa kipindi hiki muhimu.
 
Ni lazima iwe ni bidhaa?
I wish for my mama to be healthy.

No, not necessarily material things...

That's more than love to wish a good health to your mama.

Am praying for your mama to be in good health just go on with whatever medication she is taking and be there whenever you have time.

Sometimes our parents recover fast when they see their children and grand children around them.

Have a happy Festive Season.
 
Kweli mkuu, ngoja nijipange nitafute angalau hata bendi ije itumbuize hapa kwa familia yangu kwa kipindi hiki muhimu.

Aahahahhaa safii, ikiwa hilo ndo faraja na kiburudisho chako, fanya kwa nguvu zote, waweza leta hata mwezi kwa ajili ya familia just to share your happiness.

Uwe na wakati mwema na familia yako.
 
Kasie,

Nakuhitaji wewe tu na najua huwezi kukataa maana nimekuomba wewe mwenyewe!! Nakutaka wewe, hili lipo ndani ya uwezo wako, wasemaje sweetie kipenzi mwenye kipengo cha huba kiletayo mahaba yanayojaza kibaba kwa mpenzi nisiye ruba?
 
I wish I could be with you on a date during xmass.

Cause I know captain will be busy with his main dish.

Cc Kasie

@Kasie utimize haja za mioyo yao na wao wapate kusheherekea vyema.
 
I wish I could be with you on a date during xmass.

Cause I know captain will be busy with his main dish.

Cc Kasie

Aahahajaa bambobii...

Well upt to now, two of you have the same request to have a Xmas date with Kasie, let's see to the end if one of you will end up having the date....

Captain anawasoma tuu mnavyojimwambafy aahahahahahhahaaaa

All the best.
 
Captain now yupo anajimwambafy na main dish, lets have a chit chat here and there Matata Kasie, u dont know whats waiting for u K.

Cc Kasie
 
Back
Top Bottom