Kusoma kwa watu tulio wengi ni janga....
Ila kuna watu watasema kuwa hawakukosa hata toleo moja la magazeti ya udaku....
Binafsi najivunia kusoma magazeti ya kiswahili...walau mawili kila Jmosi na Jpili....
Nyani Ngabu I think I read like you this year, mostly online article, rarely beyong 5000 words at a time. I also read a few children books, do they count? Some contained initiatic lessons in them, worth houres of dubitation (does this word exist?)Oh man...my reading is so varied. Basically it runs the gamut from science journals - history - to religion, from current events (newspapers/ magazines/ blogs) to sports.
From fitness (Flex magazine) to entertainment(worldstarhiphop.com, mediatakeout.com, bossip.com. sandrarose.com, etc). You name it, I've probably read it.
I believe in the broadening of horizons so I rarely discriminate when it comes to reading. Heck, I even read dictionaries. Who else does that?
Nyani Ngabu I think I read like you this year, mostly online article, rarely beyong 5000 words at a time. I also read a few children books, do they count? Some contained initiatic lessons in them, worth houres of dubitation (does this word exist?)
Kiranga maybe I should buy a Kindle (or download the app), maana hii excuse ya kwamba I travel light might not satisfy me next year. hahahahaha
AshaDii na MWANAKIjiji nawaona mkigonga likes tuu we need you to share bandugu! Na kama you wrote share it pia, tukawasomeni!
paparazii, your readings are very specific to 2 topics. Are you conducting a reasearch or is it just an obsessive curiosity in those fields?
Nakumbuka mwaka jana ulipoanza uliweka uzi unaofanana na huu!! Kwanza hongera kwa kutukumbusha hili swala la kusoma!!!
Kwa msaada tu...ungetuwekea njia gan mnatumia mnafanikiamwa kusoma vitabu maana wengi naamini mda unakua shida maana wengi tunabanwa na classes au kazi za hapa na pale!! Na mwisho wa siku unakuta umeishia tu kwenye field yako!!!
Daa mimi ilikuwa crime & Investigation novels na mapenzi (yenye crime ndani yake)
Bravo two Zero (Non -fiction) By Andy McNab
Crisis Four (Fiction) - By Andy McNab
The Client - John Grisham
Architectural jounals
SAS open Journals na magazeti kwa sana....
2013 ulikuwa mwaka wa changamoto nyingi hivyo sikupata muda wa kuchimbua sana vitabu....
The client ni kizuri sana. kwa mtazamo wangu John Grisham hana kitabu kibaya, ila the client ni moja katika vitabu vyake bora. I have a collection, na in my collection The Client na A Time To Kill vipo katika kitabu kimoja. I read it in 4 days! hahahaha
Hopefully this year utasoma vitabu vingi zaidi, but also keep a record of all the good articles you read. Just for reference baadae. Maana nahisi huku tunako elekea maybe vitabu vitakua ni a mere complilation of articles/short novels etc. Watu tumekua wavivu sana kusoma.
hili ni wazo zuri... ngoja nianze weka mikakati!!Unaweza pia kutenga siku maalum ya kusoma, mfano kila weekend unakua na masaa kadhaa special kwa ajili ya kusoma. The most important thing, isiwe karaha, ufurahie unacho kisoma.
na hii nitajitahidi iwe ni starting point!!!Kama una classes zinakuziwia kusoma vitabu vingine kwanini usisome vitabu vya bibliography yako?
nashukuru sana kwa mawazo yako!!! na mimi ntajitahidi ukileta tena uzi(next time) niwe na vitabu vya kuchangia tofauti na vya class....sometimes articles ni just one chapter of a larger book, take the knowledge deeper by reading the entire book.
Pia jiweke karibu na watu wanao penda kusoma, they will motivate you kwa kukupa vitabu na ku-discuss their content.
hiki kitabu kinaonekana kizuri sana ...jina lake tafadhali!! au kama una soft copy yake ntashukuru sana!!A TIME TO KILL ninacho ila sijapata muda wa kukisoma....but nikiri nilipata homa wakati kale ka Mark Sway kalipokuwa kanapata maswahiba,mdogo wake kupata comma,contena lao kuchomwa moto na yule ''the blade'' alivyokuwa anamharass...
Bt all in all nikiangalia confidence kalikokua nayo huyu mtoto nasema oooh, i wish Mark angekuwa mwanangu,ila ningemdunda maana mtundu sana...
hiki kitabu kinaonekana kizuri sana ...jina lake tafadhali!! au kama una soft copy yake ntashukuru sana!!
Ni story iliyotokea Memphis USA ambapo bwana mdogo mmoja Mark Sway na mdogo wake walikuwa wameketi vichakani wakivuta sigara kinyume na taratibu kwa kuwa umri wao ulikuwa hauruhusu...
Wakati wakiendelea na zoezi hilo ghafla wakaona gari lililokuja kusimama maeneo waliyokuwa wanayaona,kwenye gari akiwepo mwanasheria aliyetaka kujiua(kwa kuwa alikuwa anajua siri) ambaye hata hivyo alijiua na kuacha siri nzito kwa Mark kuhusu ulikofichwa mwili wa Senetor aliyeaminika kuuawa na mob fulani(iliyokuwa inamtumia mwanasheria aliyejiua) ila mwili wake haukujulikana ulipo hivyo kesi kukosa nguvu...
Kitendo cha Mark kujua siri (ulipofichwa mwili) kikamweka katika hatari kuu mbili,moja ya kusakwa na mobb killer (ili asitoe siri) na pili kusakwa na vyombo vya usalama ili atoe siri....mtu pekee Mark aliyeweza kumwamini ni mwanasheria wake(ambaye Mark alimtafuta Mwenyewe) ambaye ndiye aliyemname mark 'The Client' mwanamama Regie Love ambaye hata hivyo alijitolea kumsaidia Mark...
Mitihani anayokumbana nayo Mark ni pamoja na waendesha mashitaka kutaka kukiuka vifungu vya sheria ili Mark aseme siri aliyobeba kifuani wakati huo huo maharamia wakihaha kumnyamazisha milele Mark huku Bi Regie Love akifanya kila linalowezekana kumwokoa Client wake...
Kakitafute kama upo Dar nenda duka la Vitabu Scholastica lipo ndani ya Jengo la Mlimani City mkabala na Sam Sung!
Kisa kizuri sana!!! Nna prac hapo dar...nadhan soon as i get ntaingia kwenye hiyo bookshop ..naimani ntapata na vingine vizuri!!! BTW..thanks for sharing...na muwe changamoto kwa wengine...