What are 3D houses?

What are 3D houses?

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salam wakuu,
Kama swali kinavyojieleza hapo juu, nimeshindwa kugrasp kabisa hii concept ya 3d houses. Jinsi gani wanaziprint naaterials gani zinatumika, na je ubora wake kulinganisha na nyumba za kawaida? Mwenye kujua tafadhali

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
3d printed ni term kubwa sana mkuu, printer ya 3d inaweza tumia material kama binadamu, ikajenga kwa maboksi ama kwa cement ama kwa mbao etc. Inategemea na ilivyokuwa programmed

Angalia hii printer inatumia cement na zege kama nyumba za kawaida tu

Daaah hii technology ni very advanced
 
Ni kweli, zikianza kuwa manufactured kwa wingi bei itashuka. Hata 3d printer za majumbani za kutengeneza vitu vidogo vidogo kama case za simu siku hizi zimeshuka sometime hadi chini ya milioni unapata.

Zinaenda ngapi now? Business nzuri hii
 
Za majumbani mkuu, unataka umtengenezee mtoto mdoli na vitu vidogo vidogo unapata kwa dola 200 mpaka 500 around laki 5 mpaka 1.2m.

Ila kama upo serious unataka kufanya biashara Tpu printer nzuri inaweza cost hadi milioni 7.

Hii ya milioni 7 unaweza zalisha kwa kiasi gani?
 
Hii ya milioni 7 unaweza zalisha kwa kiasi gani?
Hapa sasa mkuu inabidi uwasiliane na muuzaji, na sio tu kutengeneza cover inabidi akutengenezee michoro uwe una print tu, maana kupima cover kupata dimension kudesign kwenye computer ni kazi moja ngumu sana, hasa ukizingatia idadi ya simu zilivyo nyingi.

Kwa alibaba nimecheki piece 1000 kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom