Yap yap dearest, inafurahisha kwakweli! Hongereni wote mliofungua njia! Mie nawatakia kila la kheri mpendwa!Ni kweli mwaya..ganda la muwa la jana chungu kaona kivuno...Arusha wing nyie hivi vitu vya kawaida..
anyway its one step ahead....watch us....kutangulia sio kufika...
Hahahaha! Haihuu mwaya mama wa ubatizo. Nakuombea yaende sawa mpenzi.natamani mambo yangu yaende sawa na tanga nitie timu! inahuu kubaki nyuma nyuma!
Nina hang'over ya madawa mpaka nanukia hospital. Weekend sikuenjoy kama nyie....nawaoneaje wivu, hata hivyo ni upepo tu utapita! Hongereni JF Dar na Mwanza kwa kudhubutu. Hapa makao makuu kukutana ndio zetu weekly. BTW nimeimiss ndyofu sana!
Hahahaha! Juzi uliniahidi kuwa hutamtaja tena ! Una masifa wewe!
Mungi ametumwa kuikomboa nchi hivyo hawezi kula bata mpaka nchi imekombolewa! Hivi anaenda tanga kweli? Hachelewi kusema anasimamia kesi ya Lema lol.