Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 16,958
- 7,512
Nimeshachukuwa Form CBE,sijui itakuwaje.
Nakushauri uahirishe mwaka mkuu isije ikawa wengine wanakaa chini kama wale wa kidumu mkononi
Nimeshachukuwa Form CBE,sijui itakuwaje.
mmeishaiona tumaini ya iringa?
Ni kama shule ya bush vile majengo,ukiambiwa huwezi amini mpaka uone.
.Totozi si zipo lakini?
Nimeshachukuwa Form CBE,sijui itakuwaje.
.
Ebo! Kumbe we unafata totoz? Sasa wajilaumu nini
Nakushauri uahirishe mwaka mkuu isije ikawa wengine wanakaa chini kama wale wa kidumu mkononi
Ebu njoo udsm ujionee kama hujadhirai hapo hapo.
Ebu njoo udsm ujionee kama hujadhirai hapo hapo.
Hili linchi tabu sana!!!!!Labda ni "chuo cha msaada kwenye tuta".
ulikuwa wapi kuweka picha hiyo kabla hamjazuiwa kuvaa hovyo hovyo?Upende usipende utavaa kama chuo kinavyotaka.Kwani hukujua kuwa hakuna rangi wakati unaomba kujiunga hapo?vipo vyuo vingi vinavyotoa kozi sawa na za CBE ambavyo vina rangi nzuri sana mbona hukwenda huko?Wenzako wanaojua maana ya elimu sio rangi ya madaresa wamesoma hapo hivo hivyo na wana ma CPA na vyeti vingine vinavyoheshimika duniani.Kama unataka urembo na maz=vazi hapo sii mahala pake nendeni kwa Lundenga na Mustafa Hasanali bado wanaitaji waumini.CHUO KINALIPWA PESA NA WATUU HAWASOMI BURE ILA KUTOA PESA YA KUNUNULIA RANGI YA KUPIGA KILA MWAKA WAMESHINDWA? ANGALIA MOJA YA MADARASA YAO HAPO CBE.
WHAT A BIG SHAME.o
View attachment 50421
CHUO KINALIPWA PESA NA WATUU HAWASOMI BURE ILA KUTOA PESA YA KUNUNULIA RANGI YA KUPIGA KILA MWAKA WAMESHINDWA? ANGALIA MOJA YA MADARASA YAO HAPO CBE.
WHAT A BIG SHAME.o
View attachment 50421
ukistaaajabu ya mussa utayaona ya filauni........kumbe hata vyuoni watu wanakaaa hivi ......yaani hapa sioni tofauti kati ya darasa nilisomaliza la saba