What a golden heart ! God bless the lady

[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji55]
 
Habari zaidi inahitajika hapa.....yaani kijiji kimemtelekeza huyo mtoto kwa imani potofu mpaka huyo mzungu kamuokota??!!!
 
Mkuu figganigga ongezea nyama kidogo hiyo stori ! Mitihani hii duniani bindamu kuishinda ni kazi kweli kweli!
 
Habari zaidi inahitajika hapa.....yaani kijiji kimemtelekeza huyo mtoto kwa imani potofu mpaka huyo mzungu kamuokota??!!!
Try to look at yourself, wangapi umeshawaokoa wenye njaa na shida ya kupindukia? Wako wengi sana ila hakuna anayewajali, mpaka aje mtu toka ulaya awasaidie.
 
Aisee...!
Maisha ni bahati tu wenye roho nzuri bado wapo tuzidi kuwaombea wao na vizazi vyao!
 
Wazungu bwana wametuzidi akili adi roho nzuri sometmz
Utakuta kuna mijitu ilikua inampita huyo mtoto na kuchukulia kama jambo la kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…