Hii ndio comment nzuri kuliko zote nilizowahi kuzisoma kwa Siku ya Leo.. [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji109] [emoji109] l salute you housegirl !Watu hawajizuii kiJudge watu kutokana na appearance yao.
Nina rafiki yangu ni yeye na vimini, vimini na yeye. She smokes, takes Marijuana and has tattoos. watu wanamsema sana.... Mara malaya. Kaharibikiwa...
She's the kindest person I know. Hana umbea na majungu. Ana chozi la karibu. Yeye na vimini vyake na tattoo zake ndo naendaga naye kwenye orphanage moja hapa Dar kubeba watoto.
DON'T JUDGE PEOPLE FROM THEIR APPEARANCE.
Well said watu waongo sanaHuyo si atakuwa mtoto wa huyo Dada??...sio yule aliyeadopt....watu buana