What a coincidence

aya nimegee kidunchu mgen alikua me/ke..........wasubiriji je mlikua wote ke ..tafazal usinibanie uhondo

Japo maswali ya hivi hua yameenda shule, na ni matamu kupata results yake, bt now days yamebatizwa jina, eti "maswali ya kizushi !"
 
Nani alifanikiwa kuondoka na mgeni?

TANMO yule mgen alikuwa kaja kikaz sehemu hiyo na alikuwa na appointment na kila mmoja wetu kwa issue tofaut, so alimu-attend kila m1 kwa nafas yake. kila m1 alieleza shda yake private na kwa ufup aliyefanikiwa kumaliza muda ule akamaliza,kuna ambao walipewa appointment cku nyngne na kuna wengne walipewa appointment bdae!
 
Last edited by a moderator:
interesting..
coincidence hizo ni wageni wanaokuja kwa ndege tu
mostly from Europe lol

sidhani ukienda stesheni ya reli au ubungo kuna coincidence hizo saana lol

The Boss umesema kweli kuwa coincedence km hzo ni kwa wagen wanaokuja kwa ndege bt u cnt blv ilikuwa ni kwa local flight wala co international flight. . . . .
 
Last edited by a moderator:
Movie ya wapi? Hakuna walopendana au waliwahi kuwa wapenzi?

jamani jamani jamani kama hamkunisoma vizur naomba kuwaelewesha tena. ktk post yangu cjataja suala la gender wala element yoyote ya mahusiano. mgen alikuwa kaja kikaz na sisi tulikuwa tuna issue za kikazi. naomba usome post yangu tena!
 
Nakumbua wakati fulani mwaka 1980 nilikuwa na miadi ya kuonana na Bishanga pale Twiga Hotel, wakati anafika kumbe The Finest naye alikuwa na miadi naye wakutane pale pale............. ikabidi tusongeshe bierrr wote mpaka majogoo.................LOL

hahaa haya Mtambuzi umesomeka na coincidence yako. hebu tuambie nani alilewa sana kupita wote?
 
Last edited by a moderator:
charminglady usiniambie uka-fall in love na abiria

dah,naona somo limekuwa gumu kidogo. nahc mwalimu wenu m1. mie cjazungumzia mapenzi wala gender hata kidogo mbna weng mnabase katika mapenzi? ingelikuwa mapenz ningeandika mdada kapokelewa na wakaka wa4 au mkaka kapokokelewa na wadada wa4?
 
Last edited by a moderator:
Nilikua nasafiri kwa madhumuni ya kupeleka Posa ya swaiba wangu.
Tulipoingia garini ticket yangu No ikawa zimegongana na Mzee hivi, mtu mzima ambae tayari alinikuta mi nishakaa sitini, kabla Konda hajaja kuondoa tatizo ikakuta tushatoleana maneno yasio na staha mie na huyo mzee.
Nilipofika niendako mzee yule ndiye aliyekua Baba mkubwa wa mposwaji .
Nikamuomba radhi vikesha.

pole sana Judgement ndo ujifunze kuwa usimdharau wala kumtusi mtu usiemjua, unajuaje kma hyo m
 
Last edited by a moderator:
Japo maswali ya hivi hua yameenda shule, na ni matamu kupata results yake, bt now days yamebatizwa jina, eti "maswali ya kizushi !"

me nahc hakuna haja sana ya kujua gender kwan issue yenyewe co ya kimahusiano ni issue za kikaz zaidi. . .
 
dah,naona somo limekuwa gumu kidogo. nahc mwalimu wenu m1. mie cjazungumzia mapenzi wala gender hata kidogo mbna weng mnabase katika mapenzi? ingelikuwa mapenz ningeandika mdada kapokelewa na wakaka wa4 au mkaka kapokokelewa na wadada wa4?

Nauliza tu.............!!!!
 
Bana cku 1 niko kwenye gar nachangia mada JF jamaa pembeni nae namwona kama yuko Jf mara nkaona ana،quote، moja ya post nliyotoka kuweka,nikamPM nikamwambia alivovaa,jamaa nkamwona kas2ka nikams2a. Haha ikabdi 2ende sehemu flan bac bana cku ikapita. Mkuu whrvr u r pa1
 
Bana cku 1 niko kwenye gar nachangia mada JF jamaa pembeni nae namwona kama yuko Jf mara nkaona anaquote moja ya post nliyotoka kuweka,nikamPM nikamwambia alivovaa,jamaa nkamwona kas2ka nikams2a. Haha ikabdi 2ende sehemu flan bac bana cku ikapita. Mkuu whrvr u r pa1

hahaa hyo kali Good Guy
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom