Wezi wetu igeni kwa huyu

Wezi wetu igeni kwa huyu

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
stole-from-walmart-robin-hood.jpg
 
Kwetu tunakuvisha tairi lenye mafuta na spokes kwenye mbavu. Ila ni wale waibao kuku na second hand. ukiiba kikubwa tunakuita fisadi na kukueshimu. AIBU
 
Ha!ha!ha!ha! Bongo hii ukikamatwa full mafuta ya taa unmawashwa hapana chezea
 
hapo aliambiwa asimame kwa saa sita,walah adhabu hiyo kibongobongo mwizi anakuona zuzu tu
 
Na hapa bongo ingekuwa hukumu kama hiyo ingekuwa safi na huko magerizani pasingekuwa na watu nyomi maana wanapangwa kama chanya za ndizi zilivo
 
Back
Top Bottom