Wezi wa simu TAZARA

Inauma sana kama ni sifa nzuri kuwa sehemu fulani inasifika kwa wizi...natumaini RPC Bwana Sirro anasoma huu Uzi. Haiwezekani watu wanaibiwa mchana police wapo. Inavunja imani ya raia kwa Police
 
Kuna jamaa walikuwa wanaiba kwa style hiyo hiyo..siku moja nikamnasa na kumkwida pale dirishani akiwa anataka kuniibia...nilimpiga vichwa huku nahesabu...watu wakanikuta Niko kichwa cha 52, 53, 54, 55,56.......!
Hahahaaa we nina sana tena sana, haahahahaaa heshima kwako
 
Huwa sina kawaida ya kuendesha Gari bila kulock milango hasa nikiwa Dsm. Risk prevention ni pamoja na kujihami kwa kulock milango maeneo hatarishi kama hayo. Otherwise unawavutia wezi hasa properties zako kama simu zinapokuwa easily exposed ndani ya Gari.
 
Kuna jamaa walikuwa wanaiba kwa style hiyo hiyo..siku moja nikamnasa na kumkwida pale dirishani akiwa anataka kuniibia...nilimpiga vichwa huku nahesabu...watu wakanikuta Niko kichwa cha 52, 53, 54, 55,56.......!
Aiseeh umenfuraisha sn sio kwa uongo huu
 
Mwizi/tapeli sio wa kupeleka police. Ukiweza mmalize huko huko police na hawa wezi ni kama ndugu.

Mara nyingi wanajuana, kuna mama alichongesha masofa akalipa akamaliza akasubiri masofa hadi mwezi bado akaenda police yule fundi akakamatwa. Huwezi amini alitoka siku ile ile.
Nikiwa pale nimefatilia vitu vyangu fundi kajisahau kasema

"police watanifungaje wakati mm ndo nawaweka mjini?" nimewapa laki nitatengeneza polepole huyu mama asinikimbize nilichoka!
 
Sasa nani askar halo,ww au aliehitaji 'Kali3;lkn hujasemma kama Ile ya awali umeipata au pia
 
Ndo impact za ubahili wa kula kipupwe kwenye gari.tia lock pandisha kioo kula upupwe.hutoona mwizi
 
Safi sana mkuu ila kuwa makini usije ukapewa kesi !!!!!!
 
Hongera mkuu tumeshajua unamiliki gari na pia unamiliki chamoto na chabaridi lengo lako limetimia mpaka akina miss chaga wanakusifia sasa ivi utawang'oa ngoja nami nikaandae kathread kangu huenda nikang'oa pia
Haha Jf bhan sikua na lengo hilo
 
Ndo impact za ubahili wa kula kipupwe kwenye gari.tia lock pandisha kioo kula upupwe.hutoona mwizi
Hahaha naona Mara moja moja sio mbaya mkuu hali ya uchumi ni ngumi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…