Wezi wa simu TAZARA

Mi nikifika maeneo hayo natoa lock za mkanda nabaki standby kwa lolote. Siku moja niliibiwa nikashindwa kujitetea sababu mkanda ulinig'ang'ania
 
Hongera mkuu tumeshajua unamiliki gari na pia unamiliki chamoto na chabaridi lengo lako limetimia mpaka akina miss chaga wanakusifia sasa ivi utawang'oa ngoja nami nikaandae kathread kangu huenda nikang'oa pia
 
Kuna jamaa walikuwa wanaiba kwa style hiyo hiyo..siku moja nikamnasa na kumkwida pale dirishani akiwa anataka kuniibia...nilimpiga vichwa huku nahesabu...watu wakanikuta Niko kichwa cha 52, 53, 54, 55,56.......!
Wanaume wa JF kwa kuongeza chumvi tu ......mmo
 
Sredi ndio kitu gani Mkuu? Au umemaanisha Thread?
Hopefuly umenielewa baby boo. Maandishi yakiwa twisted yanaleta vibes murua. Najua kabisa ni thread ya Uzi bt to inflict the rhythim and tenderness nikaweka sredi...!

don't be bothered with lil stuff hun.

Umesoma lakini sredi yangu nilikuattachia!?
 
Hopefuly umenielewa baby boo. Maandishi yakiwa twisted yanaleta vibes murua. Najua kabisa ni thread ya Uzi bt to inflict the rhythim and tenderness nikaweka sredi...!

don't be bothered with lil stuff hun.
Sawa shemeji ila next time treat me like old age woman not a girl by putting those twist in words
 
Sawa shemeji ila next time treat me like old age woman not a girl by putting those twist in words
You don't sound like an old age woman..! You sound like classic grown little cutte lady.

But your wish is my command shemeji.
 
Kuna jamaa walikuwa wanaiba kwa style hiyo hiyo..siku moja nikamnasa na kumkwida pale dirishani akiwa anataka kuniibia...nilimpiga vichwa huku nahesabu...watu wakanikuta Niko kichwa cha 52, 53, 54, 55,56.......!
Mkuu umenivunja mbavu,
 
Hongera, wewe ni mwanaume wa mkoani hasa!
 
Kuna jamaa walikuwa wanaiba kwa style hiyo hiyo..siku moja nikamnasa na kumkwida pale dirishani akiwa anataka kuniibia...nilimpiga vichwa huku nahesabu...watu wakanikuta Niko kichwa cha 52, 53, 54, 55,56.......!
Hahaha

Loh wewe jamaa utakuwa imeongeza chai

Vichwa 53 hata wewe ingekuwa umetoka manundu

Ila.wezi wanaudhi sana aisee
 
TAZARA, Machinjioni VETA an Kamata ni danger zone kwa vibaka
 
Mlikosea sana.

Ilitakiwa mtafune Marinda kwanza.

Shenzi kabisa hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…