Wakuu katika akili ya kawaida isiyohitaji shahada wezi wa EPA, wahujumu uchumi na hawa Viongozi wa Chadema kina J. Nassary, Dr. Slaa, G. Lema na wengine wanaowaelimisha raia wasiendelee kunyanyaswa, kudhulumiwa haki zao, kuibiwa rasilimali zao na kutendewa maovu mengine mengi, nani alipaswa kuhojiwa na polisi wetu, na ikiwezekana kufunguliwa mashitaka? Je kwa hiki wanachofanya polisi chini ya ccm kuna tofauti gani na majambazi walioteka basi la abiria na kuwaamuru watu wote kuinamisha vichwa au kulala chini na kila anayetaka kunyanyuka au kuamka anashughulikiwa ili wengine wasithubutu, tukisema ccm na polisi ni sawa na majambazi wa aina hiyo sina hakika kama ni makosa. Sijawahi kusikia polisi wakiwahoji wezi wa mali za Umma na viongozi wabadhirifu hata siku moja ni mpaka Rais aseme, Polisi kuweni wazalendo hii nchi ni yetu sote hata ninyi inawahusu, siyo ya viongozi wa ccm peke yao? Nawasilisha.
Ni ulinganishi wa kijinga mkuu!Wakuu katika akili ya kawaida isiyohitaji shahada wezi wa EPA, wahujumu uchumi na hawa Viongozi wa Chadema kina J. Nassary, Dr. Slaa, G. Lema na wengine wanaowaelimisha raia wasiendelee kunyanyaswa, kudhulumiwa haki zao, kuibiwa rasilimali zao na kutendewa maovu mengine mengi, nani alipaswa kuhojiwa na polisi wetu, na ikiwezekana kufunguliwa mashitaka? Je kwa hiki wanachofanya polisi chini ya ccm kuna tofauti gani na majambazi walioteka basi la abiria na kuwaamuru watu wote kuinamisha vichwa au kulala chini na kila anayetaka kunyanyuka au kuamka anashughulikiwa ili wengine wasithubutu, tukisema ccm na polisi ni sawa na majambazi wa aina hiyo sina hakika kama ni makosa. Sijawahi kusikia polisi wakiwahoji wezi wa mali za Umma na viongozi wabadhirifu hata siku moja ni mpaka Rais aseme, Polisi kuweni wazalendo hii nchi ni yetu sote hata ninyi inawahusu, siyo ya viongozi wa ccm peke yao? Nawasilisha.
Ni ulinganishi wa kijinga mkuu!
Anayehatarisha umoja wa kitaifa na mwizi wa mali za taifa kuna ulinganishi wa aliye afdhali hapo?
Jiulize mwenyewe mwizi wa kuku na mwizi wa bata nani zaidi? Jibu unalo mwenyewe na zaidi ya hapo changanya na za kwako.....
Ni ulinganishi wa kijinga mkuu!
Anayehatarisha umoja wa kitaifa na mwizi wa mali za taifa kuna ulinganishi wa aliye afdhali hapo?
Jiulize mwenyewe mwizi wa kuku na mwizi wa bata nani zaidi? Jibu unalo mwenyewe na zaidi ya hapo changanya na za kwako.....
Wewe kweli akili yako ndogo............. Mwandishi anajaribu kukueleza kuwa wanaohatarisha amani ya nchi ni mafisadi na magamba then wanajaribu kusingizia wapinzani halafu wewe unataka kuwaweka kwenye chungu kimmoja?? Tumia walau dakika kumi kufikiria kabla ya kuandika ili kuficha ujinga wako!!
Bora ya mwizi wa mali za uma kuliko kilaza anayehatarisha amani ya nchi yetu nzuri Tanzania.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Wewe ndiyo kilaza wa kutupa! Hivi hujui kwamba sentensi ya kwanza kabisa katika Utangulizi (Preamble) ya PCCB Act ya 2007 inatamka wazi wazi kwamba ufisadi unaweza kuhatarisha amani na utulivu wa nchi? Nenda kaisome kilaza wee!!
Aseee kweli kabisaKaka uko sahihi kabisa. wabadhirifu ndo wanaonekana mashujaa huku wanaowafungua wananchi macho na kufichua uovu wanaonekana maadui. Polisi ifike mahali ijitambue kwa kuwa maisha ya duniani ni ya muda tu.
CCM wanajiona no miungu wa Tanzania na waweza kufanya lolote regardless hiliwaumizi viongozi. Wanaoathirika ni wananchi wote wakiwemo wana CCM wasio na Madaraka. Wanatumiwa kuwavusha majambazi juu wakivali kijani.
Wanajimegea nchi kama wanaishi milele, wanadharau watu kana kwamba hawako Tanzania, wanathamini wageni kwa kuwa wanawapa rusha, wanachi wa kawaida wanateseka kwa kuwa serikali ni rafiki wa wawekezaji. Mtanzania anakuwa Mkimbizi,mlipa kodi, mfumko wa bei ni kwa ajili yake, maisha dunini na mengineyo. Nani atawaelimisha? ni Lema, Slaa, Mbowe,Zitto,Sungusia,Nkya na wengine wenye mapenzi mema. CCM ni Hatari.
Bora ya mwizi wa mali za uma kuliko kilaza anayehatarisha amani ya nchi yetu nzuri Tanzania.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Wewe kweli akili yako ndogo............. Mwandishi anajaribu kukueleza kuwa wanaohatarisha amani ya nchi ni mafisadi na magamba then wanajaribu kusingizia wapinzani halafu wewe unataka kuwaweka kwenye chungu kimmoja?? Tumia walau dakika kumi kufikiria kabla ya kuandika ili kuficha ujinga wako!!
Sina hakika kama umesoma habari yote, na kama umesoma basi uwezo wako ni mdogo au umekurupuka, pole mkuu kama yanakuhusu.