Bado hujui kuwa bikra znauzwa madukani??Wakuu mzuuka,katika pita pita zangu mkoa fulani nimepata binti mrembo kwa sura awe mpenzi wangu.Sasa nikahitaji mchezo wa kitandani.Amenambia yeye ni bikra atanipa mchezo ila tuwege kwanza agano kuwa nitamuoa.
Nikienda kinyume na agano atanifanya nyama.Wakuu hapa ni kweli au mbinu tu ya kunyimwa papuchi??
Pambna na moyo wakoHuyo avatar ni wewe??!Bikra feki nazijua mkuu
Watu waliofanikiwa ni watu waliowahi kufanya maamuzi magumu.Sasa mkuu nifanyeje??
Unashindwa nini sasa?Natamani sana nirudi kwa mungu