CHE Raptino
JF-Expert Member
- Mar 11, 2017
- 1,027
- 1,068
Sawa shujaaNaona wengi mnamwogopa mi ningepita naye wima
Sasa huyo itategemea fiziko apiarensi yake kama halipi yanini kujitia kitanzini, ila kama kinanda waweza kufa kijerumani na tai yako shingoni.Hahaaaa,,,,,,,upopoma wote kwisha
Hahahahahaaaa mimi imenichekesha tu........sasa sijui yeye mwenyewe kama ametishikaamna kitu mkuu anakutisha tu
Hahahahahhaaaaa kusema kweli inachekesha sana.......huyo aliamua kukutisha tuAlinitisha sana
hapo ni vidole na keyboard,Ni kinanda mkuu
Ni kweli upo sema kwa Mungu hakuna kinachoshindikanaMkuu tatizo uchawi nao upo
Hahahahahaaaaa agano la kufungia mwaka na wewe.........achana nae sio lazima kwanzaTatizo ni hilo agano