Hahahaaa. Nakusalimia kaka.
Hapo kwenye ukienda kinyume na agano atakufanya nyama!!!!!!Vipi tena mkuu??
Hapo kwenye ukienda kinyume na agano atakufanya nyama!!!!!!
Atakufanya nyama?
Ni mchawi anakula nyama za watu?
[emoji83][emoji188]
Ndugu huyo anajihami tuu, hana lolote na wala usitegee bikra kwa sababu walio nazo hawana masharti magumu hivyo. Nae anaanza kuweka vikazwo kama vile vya naniliu..........Na kingine usije ukalogwa ukajiingiza kwenye maagano coz wengine unakuta ni washirikiana kwa asiliWakuu mzuuka,katika pita pita zangu mkoa fulani nimepata binti mrembo kwa sura awe mpenzi wangu.Sasa nikahitaji mchezo wa kitandani.Amenambia yeye ni bikra atanipa mchezo ila tuwege kwanza agano kuwa nitamuoa.
Nikienda kinyume na agano atanifanya nyama.Wakuu hapa ni kweli au mbinu tu ya kunyimwa papuchi??
Salam zimenifikia dada, mambo vp?Hahahaaa. Nakusalimia kaka.
Poa kabisa. Umedimika sana kaka kwema huko?Salam zimenifikia dada, mambo vp?
Huku kwema, si unajua harakati za utaftaji tena zinatukeep busy ila nakuona humu michango yako. Vp Fiesta waenda?Poa kabisa. Umedimika sana kaka kwema huko?
Hapana kaka. Uwe na siku njema.Huku kwema, si unajua harakati za utaftaji tena zinatukeep busy ila nakuona humu michango yako. Vp Fiesta waenda?
Haya nawe pia dadaakeHapana kaka. Uwe na siku njema.
Ni kweliUsiweke agano kama unajua hutaweza kulitimiza..
Ila nina wasiwasi ya huyo mwanamke kuwa bikra..
Unakimbilia wapi? Kuna bomoabomoa huko mbele[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sawa nduguNdugu huyo anajihami tuu, hana lolote na wala usitegee bikra kwa sababu walio nazo hawana masharti magumu hivyo. Nae anaanza kuweka vikazwo kama vile vya naniliu..........Na kingine usije ukalogwa ukajiingiza kwenye maagano coz wengine unakuta ni washirikiana kwa asili