Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,016
- 4,364
Kuna member amekutumia barua ya wazi.Kikawaida kwenye maisha watu tunategemeana
Iwe kwenye afya au ugonjwa, kuna muda kila mmoja wetu huhitaji watu. Kuna msemo unasema watu ni mtaji
Lakini utakuta wengine wanasema, Mimi nipo kivyangu, sijui cha ndugu wala marafiki
Wengine huamini ukipata pesa watu watajitokeza wenyewe, kana kwamba pesa ni sumaku inayovuta kila kitu pesa subuni ya roho
Ukweli ni kwamba, watu tunahitajiana kwa namna nyingi sana
Unaweza kuwa umefungua mradi wako, lakini ili ufikie malengo lazima uwe na team ya watu wa kushirikiana nao
Kuna wakati unaweza kuumwa mpaka ushindwe hata kujisogeza hapo utahitaji watu wakusaidie
Ukiwa mahabusu, utahitaji mtu wa kukutolea dhamana
Ukiandaa sherehe, ili ifane na iwe na furaha lazima watu wajitokeze kulingana na mialiko uliyoitoa
Maana yake ni kwamba, watu tunahitajiana
Swali ni je, wewe una watu?
Una watu ambao ukiwaita wanaweza kuja?
Ukipata matatizo unaamini watakuwa pembeni yako, au ni watu wa misimu leo wapo, kesho hawapo?
Na moja ya watu tunaowazungumzia hapa ni ndugu
Ndugu zako ukiwaita watakuja? Au ni wewe ndiye unayewakimbilia kila wakati? ndugu vichomi
Hivi una mtu anayoweza kukukimbilia maji yakizidi unga?
Au upo kwenye kisiwa chako mwenyewe, lonely π
ShesRise_1
Ukweli mtupu mzee alinenaKuna mzee wangu ali nifundisha hata uwe na ukubwa upi, akili au kijiji kipi, kuna saa utabaki mwenyewe.
Sio familia, marafiki au mpenzi wataweza kuwa nawe muda wote, upweke uko natural.
Yeye sio muda wote unipa pesa na shida sio pesa tu kuna kuumwa atakusindikiza hospital.Nakuonea wivu, pia nafurahi kwa ajili yako muombee sana
Unavyo vingi vya kumpa sio lazima iwe pesa dear tena yeye ndio anaejua anachopata kwako na thamani yake ukiachilia mbali undugu wenu
Mimi nina watu ambao tupo kwenye mfumo kwa hiyo tatizo likitokea ninapata suluhisho. Na sii kwamba ni msaada ni mfumo.Wewe pia ulisha changia wenzio wenye changamoto hiyo?, au ndio expectations tu?
TayaliπKuna member amekutumia barua ya wazi.
Kamjibu
Ndio ni kweliYeye sio muda wote unipa pesa na shida sio pesa tu kuna kuumwa atakusindikiza. hospital.
Kwanini sasa au unatingwaAnaweza kutuma msg nikajibu baada ya wiki
Tawiree!!!Mimi sina watu ila kuna watu walifanya niwe wa kwao ila baadae nikatoroka nikakataa kwa sababu walitaka niwe wao huku wao hawakutaka wawe wa kwangu pia ili mzani u balance
Sasa hivi nina mtu/watu ila na wao wakileta ubinafisi nao nitawatoroka kwa amaniπ
Soma vizuri usichanganyikiwe π
Hongera sanaMimi nina watu ambao tupo kwenye mfumo kwa hiyo tatizo likitokea ninapata suluhisho. Na sii kwamba ni msaada ni mfumo.
Kuna watu na viatuUkipata shida ya gafla ukawa unahitaji 1M ya harakaharaka ,na wakati huo uko vibaya ndio utajua kama una watu au viatu.
Kwamba nitafute pesa ili wajilete, Sasa hapo watakuwa wamefuata hizo pesa au mm?Mungu wangu π
Ila Mbaga hebu basi tafuta hela watu wajilete wa ku mwaga
Doh nimechekaπ€£
Hana mbele wala nyuma sasa ana wapi pembeni au?
Nje ya mada,Mimi sina watu ila kuna watu walifanya niwe wa kwao ila baadae nikatoroka nikakataa kwa sababu walitaka niwe wao huku wao hawakutaka wawe wa kwangu pia ili mzani u balance
Sasa hivi nina mtu/watu ila na wao wakileta ubinafisi nao nitawatoroka kwa amaniπ
Soma vizuri usichanganyikiwe π
Watakua wamefuata vyoteKwamba nitafute pesa ili wajilete, Sasa hapo watakuwa wamefuata hizo pesa au mm?
I'd ipi ile ya hata najua basi?Nje ya mada,
Hii comment imenifanya kuijua ID uliyokua unaitumia mwanzo kabla ya kubadili,kisha ukabadili tena na kua na hii ID ya sasa,yani hii ID ni third generation.
Ni sa hihi kabisa watu huja na kuondokaNdani ya mada,
Watu wangu ni familia yangu,marafiki ni watu wakupita tu na huwezi ukawaamini sana.
Watulie πWatakua wamefuata vyote
Watu wanaangalia faida
πWatulie π
Inasikitisha sana kwasauti ya Mbaga JrKwa kweli sina watu, na watu hawana mimi.
Itakuaje familia ikiwa inakutegemea?Ukishakuwa hai na familia unawatu. Na watu wanawewe