ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,291
- 40,950
- Thread starter
- #61
Kwamba upo mwenyewe au sio?Kama chuma ya mjerumani
Kwamba upo mwenyewe au sio?Kama chuma ya mjerumani
ManNina watu wanne juu. My man, kaka yangu, marafiki zangu wa kike wawili.
MashaAllah 😍Na watu wana mimi, Maana yake nina watu chini ambaye mimi ndo mtu wao. Humu kuna wadogo zangu, wadogo zangu wa kufikia na marafiki kama wawili watatu.
Ndio njoo tuungane watutegemeeKwamba upo mwenyewe au sio?
SawaNdio njoo
hii imekaaje 🤣tuungane watutegemee
Mambo binti MaloNina watu wanne juu. My man, kaka yangu, marafiki zangu wa kike wawili.
Na watu wana mimi, Maana yake nina watu chini ambaye mimi ndo mtu wao. Humu kuna wadogo zangu, wadogo zangu wa kufikia na marafiki kama wawili watatu.
Kwenye Moja na mbili huoni itakaajeSawa
hii imekaaje 🤣
Sijui wala 😆Kwenye Moja na mbili huoni itakaaje
Hongera maa😍Ninao wana mimi pia
Hongera 😍Watu wana mimi kwa kiasi kikubwa, mimi nina wao kwa kiasi kikubwa zaidi.
Amina mom😘Hongera maa😍
Njoo nikwambieSijui wala 😆
NiambieNjoo nikwambie
Sio hapaNiambie
WapiSio hapa
Nipo njianiWapi
Unaelekea wapiNipo njiani
Kwako mlangoniUnaelekea wapi
Zamani mama yangu alikuwa ni zaidi ya hao wote wanne 😍 Sasa amezeeka, amestaafu mimi ndio mtu wake. Ila sijamcount sababu ha deserve kuwekwa kwenye kundi lolote na yeyote.Man
Brother
Friend
Kweli una watu dear
MashaAllah 😍