new level
JF-Expert Member
- Apr 21, 2021
- 270
- 587
sina dini mkuu, najua unapoelekea hapa unampigia mbuzi guitar
Kwanini huna dini
sina dini mkuu, najua unapoelekea hapa unampigia mbuzi guitar
Hupendi kuzini?Sina excuse yoyote, sipendii tyuuh
Sipendi kuzini, sijawahi gongwa kabla ya ndoa, na sijawahi gongwa na mtu asiye mume wangu.Hupendi kuzini?
So Coca hupendi zinaa/uasherati?
Unaelewa kuwa ukigongwa kabla ya ndoa, au na mtu asiye mumeo ni kuwa umezini???
Mmmh we' Coca wewe. So hata puberty wewe ulijitunza sana na ukaolewa bikra????Sipendi kuzini, sijawahi gongwa kabla ya ndoa, na sijawahi gongwa na mtu asiye mume wangu.
Hahahahah eti 'yangu ni hayo tu'Hizi dini ukiziendekeza sana hakuna rangi utaacha kuona, yangu ni hayo tuu
Mdogo angu umeolewa lini tena si tulikubaliana hadi tule ubwabwa wa harusi ya dada yako? Uliona nakuchelewesha ama😀😀Sipendi kuzini, sijawahi gongwa kabla ya ndoa, na sijawahi gongwa na mtu asiye mume wangu.
Ndo maana ake. [emoji23][emoji23][emoji23]Mmmh we' Coca wewe. So hata puberty wewe ulijitunza sana na ukaolewa bikra????
Dada nakusubirii wee kwan tule ubwabwa wako, ila muambie shem afanye fastaa, nna jamaa anataka kunichukua mazima, sasa nikichelewa atabadili maamuzi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdogo angu umeolewa lini tena si tulikubaliana hadi tule ubwabwa wa harusi ya dada yako? Uliona nakuchelewesha ama[emoji3][emoji3]