mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,856
Niruhusuni niende moja kwa moja kwenye uzi tafadhali...! Hivi, nini maana ya uzinzi? Na je, uasherati maana yake ni nini? (........TAFADHALI, HAKIKISHA UNATOA MAANA YA NENO UZINZI NA NENO UASHERATI KABLA YA KUCHANGIA HOJA ZAIDI.........)
Hapo ulipo, una excuse ipi ya wewe kuzini/kufanya uasherati?
Kwa nini dhambi ya uzinzi/uasherati imehimizwa kwa kukatazwa, na kwa kurudiwa mara nyingi mno kwenye vitabu vyote?
Punyeto (pasipo kuangalia porn) inaruhusiwa kimaandiko?
Hivi, unaweza kumpa excuse hii Mungu, kuhalalisha zinaa/uasherati wako?[emoji116][emoji116][emoji116]
"Mwenyezi Mungu... mimi nimezini kwa kuwa ni kijana na sijaoa bado. Na sijaoa kwa kuwa bado najitafuta, hata hapa nilipo mahusiano sina (wasichana wananikataa) kwa sababu sina hela. Hivyo nimenunua malaya siyo kwa kupenda, nisamehe sana"
AU
"Mwenyezi Mungu... nimezini kwa kuwa sijatengamaa kiuchumi kufikia kuoa, ndiyo nimemaliza chuo, bado najitafuta, kula yangu ni ya shida, nitawezaje kuishi na mwenzangu?"
Utaonekana mwehu mbele za Mungu au una akili kwa reasoning zako hizi mbili?
Mungu atakuona una akili au 'lipumbavu'?
Mungu ana excuse yoyote (ya kiumri, uchumi) kwenye zinaa/uasherati?
*****************************************
Safari ya kuutafuta 'ukaribu' na Mungu ni safari nzito mno na yenye miiba mingi. Asikuambie mtu kabisa. Si nyepesi hivyo.
Unatakiwa kujiweka mazingira ya usafi kimawazo, kimaneno na kimatendo. Unatakiwa uwe makini mno.
Ukifika hatua hii (ingawa si rahisi kabisa) na kui master, ukaichukia dhambi kutoka moyoni, hapo ndipo utakapoweza kuwa karibu naye na kuomba utakacho pasipo kukoma.
Kwa supporting descriptions hapo juu, turudi madani sasa!
Je, mtu anaweza kuwa na excuse yoyote kwa kwa Mungu na akakubalika, ya kufanya uzinzi/uasherati?