wewe ukiwa na fekon au sanlg unauza nicheki

Poxino

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
727
53
Kama una pikipiki tajwa hapo juu sanlg au fekon namba c piga cm namba 0712690760 tufanye biashara
 
Fekon CBL ya October 2012
Ukinipa 1.3 nakuachia. Nilikua natafuta sana mteja
 
mkuu naona kama unaharibu thread ya mwenzio!
Huenda ukawa na point ya msingi, nakushauri uanzishe thread yako, wachangiaji tupo!
Unachokisema kinaweza kikawa ni kweli. Lakini kwenye kuchangiwa mawazo tegemea ya aina tofauti tofauti kutegemeana na mchangiaji ana experience ya aina gani juu ya kinachochangiwa. Kama unadhani ilitakiwa ushiriki wewe au wewe pekee ndo una point ungemwambia tu aku-PM basi myamalize huko. Usije ukadhani mawazo yako tu au yangu tu ndo yatafiti anachotaka yeye. Akiyajumlisha ya wote na kuchekecha atafikia muafaka. Nilichokuwa najaribu kumpa ni kuwa inawezekana kabisa akaenda MOI eidha kwa kuiendesha yeye mwenyewe au kwa kumpa mtu aiendeshe.. Ubaya mwingine ni kuwa hizo piki piki si imara kabisa hasa USED in TANZANIA... Asije shangaa ikaanza kuwa 'manyanga' baada ya muda mfupi.

Yes Wachangiaji mpo, haya changieni, na mumsifie sana tu ili kama sifa ndo sitamsaidia basi ndo aendelee nazo... Nanyi nawashauri, mnapompa ushauri mtu juu ya anatachotaka kukifanya, basi mpeni faida na hasara, au faida tupu kama hasara huzifahamu au hasara tupu kama faida huzifahamu..
 
Umesikika

Back
Top Bottom