Wewe ni shabiki wa Charlize Theron? Unakumbuka Majina aliyotumia kwenye Filamu zake?

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
IMG_3691.jpg



Charlize Theron mwenye asili ya Afrika Kusini na Marekani ni miongoni mwa waigizaji wanaolipwa pesa ndefu zaidi duniani

Mwaka 2016, Jarida la Time100 lilimtaja Theron katika orodha ya watu 100 wenye ushawishi mkubwa

Wewe ni shabiki wa #CharlizeTheron? Unakumbuka Majina aliyotumia kwenye Filamu zake?
 
Back
Top Bottom