PostGE2025 Wewe ndiye umetutia doa baya kabisa!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
1. Kwa kuwafunga wapinzani wako wasishiriki uchaguzi.

2. Watu wanaokukosoa kutekwa. Hupendi kukosolewa.

Job Ndugai aliposema mambo ambayo yalionekana yanakukosoa wewe, ukamfukuza uspika.

Dokta Slaa aliposema mambo ambayo yalionekana kama yanaukosoa utawala wako, ukamvua ubalozi.

Humphrey Polepole yeye si tu ukamvua ubalozi, akatekwa kabisa na pengine ashauawa.

Gwajima alipoukosoa utawala wako, naye ukaanza kumnyanyasa.

Mdude Nyagali alitekwa na pengine ashauawa

Wakenya na Waganda walipokuja kuonyesha mshikamano kwenye kesi ya Lissu, wakatekwa wakaenda kuteswa na kufirwa.

3. Siku ya uchaguzi ilipofika watu wakakukataa. Hawakwenda kupiga na wengi wakaingia mabarabarani kukupinga.

Ukawatuma majambazi wako waende kuwaua watu kiholela.

Umeua maelfu ya Watanzania. Umeua hadi watoto wadogo.

4. Kwa maajabu, baada ya siku mbili tokea siku ya uchaguzi, tume yako ikakutangaza kuwa wewe ndo mshindi wa uchaguzi na eti ulishinda kwa 97.66% ya kura zilizopigwa ambazo ni milioni 32 na ushee.

Huna hata haya. Hakuna Watanzania milioni 31 waliokupigia kura.

5. Kama hilo halitoshi, ukaenda ukaapishiwa uchochoroni huko bila hata kuwapa fursa hao wapiga kura wako milioni 31 kusherehekea ushindi wako.

Halafu leo unajishebedua eti yaliyotokea yametutia doa!

Sikiliza wewe, wewe ndo umelitia doa taifa.
Huyu Jezebel anahusika na mauaji haya ya halaiki kwa 100% na vile jinai haifi lazima ipo siku atahukumiwa kunyongwa hadi afe na siku hiyo haiko mbali.
 
Wanataka yatufike ya Zimbambwe kwa Upuuzi wao, Vurugu za Masaa tu zilifanya nyama ikauzwa Tsh.20,000 kwa Kilo, hadi twende kununua mkate na pesa zikiwa kwenye toroli uzalendo wao kwa taifa hili utakuwa umetimia
 
kiukweli ni aibu sana kusema umechaguliwa kwa 98% wakati watu siku ya uchaguzi wamendamana watu sasa sijui kwanini analiamua kujidanganya na kuwadanganya watu na hizo kodi anazoenda kuwatwisha watanzania ndo zitaibua Maandamano ya hatari huwezi kuwatwisha kodi wananchi ambao wengi hawa kukuchagua huo ndo ukweli
 
1. Kwa kuwafunga wapinzani wako wasishiriki uchaguzi.

2. Watu wanaokukosoa kutekwa. Hupendi kukosolewa.

Job Ndugai aliposema mambo ambayo yalionekana yanakukosoa wewe, ukamfukuza uspika.

Dokta Slaa aliposema mambo ambayo yalionekana kama yanaukosoa utawala wako, ukamvua ubalozi.

Humphrey Polepole yeye si tu ukamvua ubalozi, akatekwa kabisa na pengine ashauawa.

Gwajima alipoukosoa utawala wako, naye ukaanza kumnyanyasa.

Mdude Nyagali alitekwa na pengine ashauawa

Wakenya na Waganda walipokuja kuonyesha mshikamano kwenye kesi ya Lissu, wakatekwa wakaenda kuteswa na kufirwa.

3. Siku ya uchaguzi ilipofika watu wakakukataa. Hawakwenda kupiga na wengi wakaingia mabarabarani kukupinga.

Ukawatuma majambazi wako waende kuwaua watu kiholela.

Umeua maelfu ya Watanzania. Umeua hadi watoto wadogo.

4. Kwa maajabu, baada ya siku mbili tokea siku ya uchaguzi, tume yako ikakutangaza kuwa wewe ndo mshindi wa uchaguzi na eti ulishinda kwa 97.66% ya kura zilizopigwa ambazo ni milioni 32 na ushee.

Huna hata haya. Hakuna Watanzania milioni 31 waliokupigia kura.

5. Kama hilo halitoshi, ukaenda ukaapishiwa uchochoroni huko bila hata kuwapa fursa hao wapiga kura wako milioni 31 kusherehekea ushindi wako.

Halafu leo unajishebedua eti yaliyotokea yametutia doa!

Sikiliza wewe, wewe ndo umelitia doa taifa.

Yamemtia DOA yeye ndiyo sababu hataki kutoka wala kukutana na Marais wenzake.
 
Tuna rais wa hovyo kuwahi kutokea.
 
Kiongozi yeyote yule ukikosa:-
busara, hekima, washauri wazuri, akili ya kuchanganua mambo kwa usahihi, uvumilivu, ustahimilivu, upendo kwa watu wote, maono, unyenyekevu, usikivu, huruma, hisia, utu, aibu, hofu ya Mungu, uzalendo, nk.

Hakika utageuka na kuwa shetani mbaya kabisa kuwahi kutokea hapa duniani.
 
Hili shetani la kizanzibar halina aibu wala akili na ndio maana mambo mazito linayachukulia kwa wepesi sana.

Sijui anajiskiaje kuona karibu balozi zote zilizopo hapa nchini zimetoa pole na maneno ya faraja kwa familia za wahanga wa mauaji aliyofanya, wakati huo serikali yake mpaka leo imekaa kimya.
 
Kiburi... ni kiburi

December 9
 
Samia anaongea kama hajali watu waliouawa anachojali sasa ni kupata pesa tu.
Yupo hivyo hivyo toka zamani, maneno na matendo yake ni yale yale.
Ni zao la CCM mtandao ya 2000 kuja juu.

Kwa sasa analinda madaraka yake kwa nguvu kubwa sana yupo tayari kwa lolote
 
Back
Top Bottom