Wewe ndiwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wewe ndiwe

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jpinduzi, Dec 11, 2011.

 1. Jpinduzi

  Jpinduzi Senior Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wewe ndiwe Adonai, kwa maana wewe ndiwe Mungu mwenye enzi yote, uliye juu ya yaote.

  Wewe ndiwe El- Ohinu, kwa maana wewe ndiwe Bwana Mungu wetu, sina kimbilio jingine.

  Wewe ndiwe El-Gibor, kwa maana wewe ndiwe Mungu mwenye nguvu zote.

  Wewe ndiwe El-Eliyon, kwa maana wewe ndiwe Mungu uliye juu sana sana.

  Wewe ndiwe Elohim, kwa maana wewe ndiwe Mungu muumbaji wa hivi vitu vyote.

  Wewe ndiwe Jehovah Mekadesh, kwamba wewe ni Mungu utakasaye na kutousha makosa yetu

  Wewe ndiwe Jehovah Shamah, Mungu wangu unayenizunguka na kunijaza kwa uwepo wako.

  Wewe ndiwe Jehovah Saboath, Mungu wangu unayenipigania kwa majeshi yako na nguvu.

  Wewe ndiwe Jehovah Nisi, Mungu wangu unayenishindia vita na mapambano yangu yote.

  Wewe ndiwe Jehovah Rafa, Mungu wangu unayeniponya na kuhuisha afya yangu kila siku.

  Wewe ndiwe Jehovah Shalom, Mungu wangu unayenijaza kwa amani yako na furaha yako.

  Wewe ndiwe Jehovah Rohi, Mungu wangu unayenichunga na kuniongoza ktk malisho mazuri.

  Wewe ndiwe Jehovah Yire, Mungu wangu mtoaji, unayenipa kila kitu ninachohitaji maishani.

  Wewe ndiwe El-Shaddai, Mungu wangu unayenitosheleza kwa yote ninayohitaji maishani.

  Ee Baba yangu, Jina lako libarikiwe, jina lako litukuzwe, jina lako liinuliwe kuliko majina yote.
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Thread haina mvuto hata kidogo.
   
 3. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  hahhhahaaaa...nimekuwa speeechless kidogo,dah!
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Haina mvuto kwako.
  Asante mtoa mada, umeugusa mtima wange.
   
 5. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Narudia tena thread haina mvuto hata chembe.
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  U don't get it, do u?
  U don't define vyenye mvuto from visivyo na mvuto
  That is life buddy!
   
 7. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Najua wewe ndiye uliyefuta thread yangu leo asubuhi. Bado unaendelea kunifatafata siyo?
   
 8. mpoleeee

  mpoleeee JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naona nimeingia kanisani kwa mara ya 2 leo.
   
 9. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,160
  Likes Received: 1,162
  Trophy Points: 280
  Hakuna shida we furahia ktk bwana
   
 10. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #10
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  King'asti, great jinga kazi yake ndo hiyo. Sijui atapataga lini tiba aisee!!!
   
 11. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #11
  Dec 11, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Haya nilikuwa napita tu,nimechungulia kidogo naendelea mbele,ngoja niangalie thread ingne
   
Loading...