donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,130
- Thread starter
- #121
Shahada ya ualimu Bed science specialization in Mathematics. Pia ninastashahada ya ualimu katika Dini.
Mkuu kwa namba inaonekana uko fit, I love numbers
Shahada ya ualimu Bed science specialization in Mathematics. Pia ninastashahada ya ualimu katika Dini.
the....tehe....twehe.....
majibu yenu yameondoa makunyanzi na hasira za wiki nzima yamenipa furha hasubuhi hii na kuondoa gas tumboni iliyotokana na kuvimbiwa wachemsho ya supu
unaonekana umekuja mjini sijui na mbio za mwenge au uliparamia gogo na kushindwa kuliachia mpaka kufika Pugu
Ukizaliwa mjini tayari umemaliza form 6, ukikulia mjini wewe una Bsc sasa njoo wewe wa kijijini na vyeti vyako usome vipi watu wanaishi hapa mjini
Mkuu na ww ndo walewale huna hata hyo masterz wenye hvo v2 wame2lia 2.kuna wa2 wana cpa,masterz,phd za ukwel plus gpa za kufa m2 but wame2lia 2.ntakupa laki moja ukiatach hyo masterz yako hapa jf
madhara ya kuiba mitihani ungekuwa na degree kweli ya kutoka kichwani usingesema'hayotaaluma bila kazi upumbavu kaz zenyewe experience miaka mitano vjana na digree zetu tupo vjiweni kama sola dah.
Tuweze kufahamiana taaluma zetu!
Mtoa mada una shahada ya nini vile?
Taaluma kama nizijuazo mimi mfano : uhunzi, kuchonga vinyago, kufua chuma ,n.k?
hakika naomba ufafanuzi mkuu.
bachelor of laws
Bachelor of science in Photocopying and Paper Binding
Mkuu safi, nakumbuka mimi ka Law of contract tu kalinisumbuaga back in days thou sikukamatwa
acha tuu kuna kitu kinaitwa tax law ni hataree
acha tuu kuna kitu kinaitwa tax law ni hataree
Ninayo ya kupigia kura. Enhe!!?