Wewe mwana JF una taaluma gani?

Wewe mwana JF una taaluma gani?

Degree ya kwanza - UDSM
Degree ya Masters - UDSM
Phd - University of Florida at Gainesville

JF tulianza kunako zamani baada ya forum yetu ya wanaAtlanta kukosa support na website kufungwa. Tukahamia JF.

Tanzatl.org oyeeeee

Hivi Marcel yuko wapi siku hizi?
 
madhara ya kuiba mitihani ungekuwa na degree kweli ya kutoka kichwani usingesema'hayo

Hivi sula la kujiajiri vijana mnalichukuliaje? Jitu zima eti limemaliza elimu ya chuo lina lia Ajira hakuna!

Hiki ni kichefuchefu mkuu,hata kama aliiba pepa.
 
Mtoa uzi mi sioni ubaya wako kwani umetoa in good faith. Nimepitia comment nyingi dah nadhani kuna baadhi sio GT kwa kuwiana na jina lenyewe la kundi.

Nimeona ishu
>watu hawajajua umuhimu wa kuwa na academic linkage, kushauriana MMU hapo hakuna shida

>inferiorities kwa baadhi(inclusive mimi). Yani nikisema elimu yangu Obvious kuna mtu ajajilinganisha, so kama niko chini huenda nikafeel vby

> wengine ni wasiri by nature, yani basi tu. Unijue ili unitanie/unibeze? So wanaamua kuwa kimya ili kuepusha possible -ve consequences!

Bsc Wildlife Mgt (Sua), Msc Env Mgt)Charles Darwin Univ)
 
Thank u so much mkuu, spoken like tru GT
 
Diploma in secondary Education Marangu ttc[2006)
ba -Ed universty of udom 2011
masters of adminstration in education- MWENGE UNIVERSTY (2014)
 
Mzee wa Loliondo
Maelezo yako ndio yanayokupa majibu ya mitaani,
Uliuliza
Tuweze kufahamiana taaluma zetu, umepewa majibu umekuja na ujuzi uliousomea,
Majibu hayafanani na suala
Tegemea kupata majibu vyenginevyo ya masuala uliyouliza
Taaluma au ujuzi uliousomea!
 
Mtoa uzi mi sioni ubaya wako kwani umetoa in good faith. Nimepitia comment nyingi dah nadhani kuna baadhi sio GT kwa kuwiana na jina lenyewe la kundi.

Nimeona ishu
>watu hawajajua umuhimu wa kuwa na academic linkage, kushauriana MMU hapo hakuna shida

>inferiorities kwa baadhi(inclusive mimi). Yani nikisema elimu yangu Obvious kuna mtu ajajilinganisha, so kama niko chini huenda nikafeel vby

> wengine ni wasiri by nature, yani basi tu. Unijue ili unitanie/unibeze? So wanaamua kuwa kimya ili kuepusha possible -ve consequences!

Bsc Wildlife Mgt (Sua), Msc Env Mgt)Charles Darwin Univ)

mwenyewe ndio unaona umetoa point!
Duh..mamburula wako wengi Tz,
chadema wana kazi nzito kuanzia 2015 kuongoza mijitu ya dizaini hii,kwani inabidi waanze arifu
 
Diploma in secondary Education Marangu ttc[2006)
ba -Ed universty of udom 2011
masters of adminstration in education- MWENGE UNIVERSTY (2014)

Ok mr ogoti thank u mwuce

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Msukuma mkokoteni, taaluma yenyewe nimeipatia hapa hapa bongo
 
Ndio sababu watu wanatumia ac fake...sisi waTz tuna kazi kubwa sana &safari ndefu towards Damesk na ndio mana makanisa yako mengi sana, dah Mungu turehemu
 
mwenyewe ndio unaona umetoa point!
Duh..mamburula wako wengi Tz,
chadema wana kazi nzito kuanzia 2015 kuongoza mijitu ya dizaini hii,kwani inabidi waanze arifu

Mi mburula? Kivip mkuu,unaeza nipa hata indicator moja kwenye hoja yangu kuprove umbulula?

Afu uache kunifatilia wewe, toka facebook hadi huku unataka nini? Kusoma kitu gani mpk uanze chuki na mm? Au kwa vile natumia jina langu halisi ndio umepta loophole?

We kasirika tu, mm nimetoa wazo langu unajidai kudelute bila hata kukosoa nilipoandika wrong! Mda mwingine mnatafuta matusi tu ila nakustahi

Kuonesha chuki zako unaongiza ishu ya chadema...inahusiana vp na mimi au nlichoandika? Kasome kimpango wako sio kukaa sijui ni nini kinakuuma mpk uniseme vby bila kunikosoa ikiwa nimeamdika mawzo yangu
 
Back
Top Bottom