Wewe mwajiriwa wa "9 to 5" unalitambua hili?

SanArt

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2026
Posts
600
Reaction score
1,062
Unajua leo bwana nikiwa najiandaa kwenda kazini nimekaa nikawaza,

Nini hiki? Yaani nifanye kazi kwa ajili ya watu, nikiwa na malengo ya kuwa financially free.

Kweli kabisa, yaani niwe financially free kwa kulipwa kwa muda wa kazi?

Ni ujinga wa hali ya juu, mtu unajua Mshahara wako ni fixed, na unategemea ipo siku utakuwa na hela ya kufanya unalo taka?

Kweli sisi wamatumbi ni sawa na mwanyama wa mwituni kabisa, hatuna mafikirio ya mbele, huwa unawaza kuhusu survival na ngono tu.

Imagine unatumikishwa day to day, na hakuna siku utakuwa free, mpaka unastaafu na miaka 60. Utakacho ambulia ni mafao tu, ambayo yatakukuta hauna plan, na mwishowe hiyo hela utakosa mianya mzuri ya kuji multiply.

Sasa nani atakuja kukuamsha kutoka kwenye hilo jeneza la kuajiriwa?

Basi, bwana nisiwachoshe ngoja Twende tukaendelee kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight.
 
Sasa hapa ukiambiwa acha basi hiyo kazi, hujalazimishwa, usilielie tu kufurahisha genge.

Napo utasema unachukiwa?
 
Ndicho mnakosea vijana.
Ajira ni njia nzuri sana ya kufika unakotaka na kufanya unchotaka.
Tatizo mkishapata viajira vyenu mnakimbilia majukumu.
Mtu anaoa
Anazaa kazi ya kusomesha unaanza
Anaanza kujenga.
N.k. n.k
Sasa pesa mshahara mbuzi halaf unakimbilia majanga hayo UTATOKAJE WEWE???

PAta ajira.
Ishi mwenyewe kwa muda ,jipe hata 5 years
Save money.
FIkiria shughuli unayotaka kujiajiri nayo.
After 5 years huwez kosa angalau 5 milioni, gata kama ni ajira ya mshahara mdogo kiasi gani.
.acha kazi, anza shughuli yako. Napo usiwe na majukumu mazito mfano kusomesha.

Hapo utafanikiwa tu.

Tatizo mnaharakisha mambo sana.
 
walalamikaji wazuri, daily utaona anaipondea kazi ni mbaya na kutoa kasoro nyingi...kuacha ndiyo hathubutu😁
Mimi naona the system is designed to fail us. Hakuna somo shuleni utafundishwa namna ya kujinasua na kuwa investor. They don't teach you about money
 
Back
Top Bottom