Wewe mwajiriwa wa "9 to 5" unalitambua hili?

Ndicho mnakosea vijana.
Ajira ni njia nzuri sana ya kufika unakotaka na kufanya unchotaka.
Tatizo mkishapata viajira vyenu mnakimbilia majukumu.
Mtu anaoa
Anazaa kazi ya kusomesha unaanza
Anaanza kujenga.
N.k. n.k
Sasa pesa mshahara mbuzi halaf unakimbilia majanga hayo UTATOKAJE WEWE???

PAta ajira.
Ishi mwenyewe kwa muda ,jipe hata 5 years
Save money.
FIkiria shughuli unayotaka kujiajiri nayo.
After 5 years huwez kosa angalau 5 milioni, gata kama ni ajira ya mshahara mdogo kiasi gani.
.acha kazi, anza shughuli yako. Napo usiwe na majukumu mazito mfano kusomesha.

Hapo utafanikiwa tu.

Tatizo mnaharakisha mambo sana.
Sawa, plan kama hiyo wengi hawawezi kuwa disciplined wanapenda mteremko
 
…Basi, bwana nisiwachoshe ngoja Twende tukaendelee kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight.
90% ya watu lazima waanze na some form ya kazi inayolipa ujira ili hiyo iwe mbegu ya kuanzia

So, formula ni Fanya Kazi - Start saving (usile chote) - Invest - Save Again - Invest - Multiply - Then huko mbele utachagua kama uendelee na investment zako na hiyo Ajira au uondoke kazini

Shida ipo kwenye mapokeo yetu. 98% ya watu - including you - wamestuck kwenye step 1.

Tabia ya kufanya saving ni msamiati mgumu kwa wengi. The issue sio unapokea shilingi ngapi. La muhimu ni unabakiza shilingi ngapi kila mwisho wa mwezi na plan yake nini
 
Unajua leo bwana nikiwa najiandaa kwenda kazini nimekaa nikawaza,

Nini hiki? Yaani nifanye kazi kwa ajili ya watu, nikiwa na malengo ya kuwa financially free.

Kweli kabisa, yaani niwe financially free kwa kulipwa kwa muda wa kazi?

Ni ujinga wa hali ya juu, mtu unajua Mshahara wako ni fixed, na unategemea ipo siku utakuwa na hela ya kufanya unalo taka?

Kweli sisi wamatumbi ni sawa na mwanyama wa mwituni kabisa, hatuna mafikirio ya mbele, huwa unawaza kuhusu survival na ngono tu.

Imagine unatumikishwa day to day, na hakuna siku utakuwa free, mpaka unastaafu na miaka 60. Utakacho ambulia ni mafao tu, ambayo yatakukuta hauna plan, na mwishowe hiyo hela utakosa mianya mzuri ya kuji multiply.

Sasa nani atakuja kukuamsha kutoka kwenye hilo jeneza la kuajiriwa?

Basi, bwana nisiwachoshe ngoja Twende tukaendelee kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight.
Mara nyingi watu msio na ajira mnapenda sana kuongea hivi kujifariji.
 
90% ya watu lazima waanze na some form ya kazi inayolipa ujira ili hiyo iwe mbegu ya kuanzia

So, formula ni Fanya Kazi - Start saving (usile chote) - Invest - Save Again - Invest - Multiply - Then huko mbele utachagua kama uendelee na investment zako na hiyo Ajira au uondoke kazini

Shida ipo kwenye mapokeo yetu. 98% ya watu - including you - wamestuck kwenye step 1.

Tabia ya kufanya saving ni msamiati mgumu kwa wengi. The issue sio unapokea shilingi ngapi. La muhimu ni unabakiza shilingi ngapi kila mwisho wa mwezi na plan yake nini
Moja ya kitu kinacho fanya mtu asifanikiwe ni kuwa na mindset ya saving... Ni kitu kibaya sana, maana time is money... The more tunasubiri the more money losses its value..

Ni kheri hiyo hela uka nunua asset hata kwa kukopa, ili blvakue yake izidi kupanda with time.

Warren buffet na Robert kiyozaki wamesema sana kuhusu hilo. Saving haijawahi kunufaisha mtu, hasa kwa maisha yetu ya kibongo bongo
 
“Hiyo hela” inakujaje kabla hujaanza kusave kwanza ili ifikie hapo?

Thats where you fail. Kuna kitu kinaitwa “instant gratification” - yaani hulka ya kutaka kitu haraka haraka na bila plan

So, asset yes. Lakini asset huipati bila kwanza kufikisha amount husika, especially wengi ambao mishahara yao minus matumizi inabako kiduchu mno

Kusave pesa muda mrefu na ikawa nyingi imekaa tu bila kufanyishwa kazi, ofcourse ni hasara

By the way, unaposema Asset unamaanisha nini? Usiwe kuwa unajua vitu kama gari, Iphone 18, Laptops etc ni “Asset”🙂
 
Unajua leo bwana nikiwa najiandaa kwenda kazini nimekaa nikawaza,

Nini hiki? Yaani nifanye kazi kwa ajili ya watu, nikiwa na malengo ya kuwa financially free.

Kweli kabisa, yaani niwe financially free kwa kulipwa kwa muda wa kazi?

Ni ujinga wa hali ya juu, mtu unajua Mshahara wako ni fixed, na unategemea ipo siku utakuwa na hela ya kufanya unalo taka?

Kweli sisi wamatumbi ni sawa na mwanyama wa mwituni kabisa, hatuna mafikirio ya mbele, huwa unawaza kuhusu survival na ngono tu.

Imagine unatumikishwa day to day, na hakuna siku utakuwa free, mpaka unastaafu na miaka 60. Utakacho ambulia ni mafao tu, ambayo yatakukuta hauna plan, na mwishowe hiyo hela utakosa mianya mzuri ya kuji multiply.

Sasa nani atakuja kukuamsha kutoka kwenye hilo jeneza la kuajiriwa?

Basi, bwana nisiwachoshe ngoja Twende tukaendelee kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight.
9 to 5 labda kutoboa mtoni kulipwa kwa saa ila huku Bongo hautoboi labda uwe mwizi.
 
“Hiyo hela” inakujaje kabla hujaanza kusave kwanza ili ifikie hapo?

Thats where you fail. Kuna kitu kinaitwa “instant gratification” - yaani hulka ya kutaka kitu haraka haraka na bila plan

So, asset yes. Lakini asset huipati bila kwanza kufikisha amount husika, especially wengi ambao mishahara yao minus matumizi inabako kiduchu mno

Kusave pesa muda mrefu na ikawa nyingi imekaa tu bila kufanyishwa kazi, ofcourse ni hasara

By the way, unaposema Asset unamaanisha nini? Usiwe kuwa unajua vitu kama gari, Iphone 18, Laptops etc ni “Asset”🙂
Asset ni kitu kinacho ongezeka value with time... (land, machinery, hisa, long term investment)

Katika kuweka savings, sisi huwa na mindset kuwa baada ya mwaka nitanunua kitu fulani, but due to, lack of financial goals na kujua kuwa money vs time graph drastically shifts tunajisahau nakujikuta mipango haiendi.

Issue kubwa ni kuwa, discipline na savings vina mchango mdogo sana, lakini mtu anayejua namna ya ku multiply hela anawigo mkubwa sana wa kutoboa.

Kufanikiwa hakuji kwa kusave hela, huo ni uongo.
 
Unajua leo bwana nikiwa najiandaa kwenda kazini nimekaa nikawaza,

Nini hiki? Yaani nifanye kazi kwa ajili ya watu, nikiwa na malengo ya kuwa financially free.

Kweli kabisa, yaani niwe financially free kwa kulipwa kwa muda wa kazi?

Ni ujinga wa hali ya juu, mtu unajua Mshahara wako ni fixed, na unategemea ipo siku utakuwa na hela ya kufanya unalo taka?

Kweli sisi wamatumbi ni sawa na mwanyama wa mwituni kabisa, hatuna mafikirio ya mbele, huwa unawaza kuhusu survival na ngono tu.

Imagine unatumikishwa day to day, na hakuna siku utakuwa free, mpaka unastaafu na miaka 60. Utakacho ambulia ni mafao tu, ambayo yatakukuta hauna plan, na mwishowe hiyo hela utakosa mianya mzuri ya kuji multiply.

Sasa nani atakuja kukuamsha kutoka kwenye hilo jeneza la kuajiriwa?

Basi, bwana nisiwachoshe ngoja Twende tukaendelee kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight.
Acha hio kazi uje mtaani uone ilivyo kazi kuishi bila kazi. Mnaona kujiajiri ni rahisi na raha sana. Acha kazi uje huku.
 
Back
Top Bottom