Wewe mkaka wa Jamii Forums mimi mwenzio bado nakupendaa

Wewe mkaka wa Jamii Forums mimi mwenzio bado nakupendaa

😂😂😂
Huyo huyo anayeanzia na N ndio nayemjua na sitaki kuelekezwa azawaizi 🤣
Ha haaa yule hata sura simjui huwezi amini. Wewe ukiona nabebishana na mtu wazi wazi ujue sipo serios. Mambo mazuri ni kimya kimya.
Yule mchumba sijui kapotelea wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom