Wewe lakwako lingekuwaje???

Langu lingebaki kama lilivyo mkuu. Hadithi ya supplementry nilikuwa naisikia tu kwa watu! Ila niliwahi kupata karai 1 nikiwa 2nd year roho iliuma ile mbaya!
 
jumapili njema na ww Mr. Mtalingolo..nimefurahi sana but najua kw wengine unawaumiza saana hasa ukifiria cku hiz SAP au DISCO sio lazima ukute hausomi tuu, hata hawa ma lecture ukikaa nao vibaya uta nyooshwa, soo poleni wote, but mimi nilishakuw na kimeo kimoja, na ctaki tena itokee,hivyo najua Joho langu labda lingekuwa na shimo somewhere!!
 
karai unalia?

Labda kama ulikuwa ngwini.
Lakini ile barabara ya chini ilikuwa noumer.

Unakuta kitu Mshimba kimesimamia kucha, duh!
Langu lingebaki kama lilivyo mkuu. Hadithi ya supplementry nilikuwa naisikia tu kwa watu! Ila niliwahi kupata karai 1 nikiwa 2nd year roho iliuma ile mbaya!
 
kwa hiyo, kama majoho na kofia hayana maana, wanavyuo wakatae kuyavaa wakati wa graduation au graduation za vyuo zifutwe??

Au kama vyuo havina maana kama inavyosemekana vifungwe?

Au kama kwenda chuo si kupata kazi nzuri wala kuwa mfanyakazi bora, tuwakataze wanetu kujiunga na vyuo?

Duh, hii mpya!!!!
 
karai unalia?

Labda kama ulikuwa ngwini.
Lakini ile barabara ya chini ilikuwa noumer.

Unakuta kitu Mshimba kimesimamia kucha, duh!

Lilikuwa karai la Land Law, wakati huo Prof. Mgongo Fimbo ana enjoy ile mbaya akinyaka watu!
 
Nilikuwa namsikia tu huyo mtu

duh, law mie sielewagi kitu
maneno yenu hunishindwa kabisa

Lilikuwa karai la Land Law, wakati huo Prof. Mgongo Fimbo ana enjoy ile mbaya akinyaka watu!
 
kwa hiyo, kama majoho na kofia hayana maana, wanavyuo wakatae kuyavaa wakati wa graduation au graduation za vyuo zifutwe??

Au kama vyuo havina maana kama inavyosemekana vifungwe?

Au kama kwenda chuo si kupata kazi nzuri wala kuwa mfanyakazi bora, tuwakataze wanetu kujiunga na vyuo?

Duh, hii mpya!!!!

changanya na zako...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom