Wewe lakwako lingekuwaje???

Wewe lakwako lingekuwaje???

Ila nakubali si kila mahali unaposoma lazma uvae joho km ishara ya kumaliza...kwanza majoho siku hizi hadi chekechea yapo na thamani yake ndo kwishiney kabsaaaaaaaaaaaa

Yap.. majoho si kila kitu. Na zile kofia za UNI.
Hazina mantik tena .. si tulikuwa tunazivaa kwenye street party ..kupindi hicho nasoma .
 
Ndo wazo la kwanza ingawa wako wengi sana wanaofanya kazi nzuri bila degree

Haya bana lakini kumbuka

Si lazima degree kuwa mfanyakazi mzuri.
we sema wenye degree ndo watakuwa wa kwanza kuajiriwa.
 
Yap.. majoho si kila kitu. Na zile kofia za UNI.
Hazina mantik tena .. si tulikuwa tunazivaa kwenye street party ..kupindi hicho nasoma .
Kwanza hata elimu yenyewe ya sasa ni butu balaaa...last week hadi ijumaa tulikuwa tunawainterview vijana wapya...yan walikuwa vilaza hadi aibu....huwezi amini km kamaliza chuo na anaomba kazi...yan hajui vitu tena vya fani yake.....hadi huruma
 
Poleni ..
Siku hizi majoho na hizo kofia ni kwa ajili ya picha za kuweka Facebook ..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom