Wewe lakwako lingekuwaje??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wewe lakwako lingekuwaje???

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtalingolo, Mar 4, 2012.

 1. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nadhani wengi wetu tumepata kusoma na tupo ambao tunaendelea kusoma katika baadhi ya vyuo hapa nchini na hata nje ya nchi.
  Na katika kupata elimu huko vyuoni huwa kuna hali ya wanafunzi kushindwa kuendelea na chuo kutokana na kufeli(DISCONTINUETION maarufu kama KU-DISCO) Na wengine kufeli baadhi ya mitihani hivyo kutakiwa kuirudia(SUPPLIMENTARY maarufu kama SAP)
  Swali langu; je ingekuwa kila uki-SAP somo au KUDISCO wanakata lile joho lako la kuvaa siku ya mahafali, Wengi wetu tungevaa likiwaje???

  Nikianza na mimi mwenyewe nahisi Lingebakia kama koti la Suti,

  Najua kuna ambao wao yao yangebakia kama Leso, Kaushi, Fulana, vipeperushi tu...

  Hebu tujuze wewe lako lingebakiaje/ungevaa likiwaje???

  Jumapili njema wakuu just for funy...
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  langu lingebaki kama lilivyo, sijawahi ku-sup wala ku-disco
   
 3. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nilichelewa kujiunga cuo lakini siku SAP wala sija DISCO.

  Vyote hivyo vyaweza kutokea kama ukiwa una fanya mchezo wakati wa masomo. Umefika vipi hadi ku qualify kuingia chuo halafu uDISCO au uSAP? Labda kama umeingia chuo kwa ku kingiwa kifua.
   
 4. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hongera sana mkuu kumbe ulikuwa KIPAWA...
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Duh..!
  kwa hiyo ungelibadilisha ili liwe Koti (ama shati) mkuu?
   
 6. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mzee kwa ma Engineer na Madoctor ni kawaida sana kuskia nusu ya Darasa wamesap somo fulani...
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Sijawahi kuvaa ..
  Na sintakaa nivae
   
 8. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahaha vp wewe kingebakia kizibao au leso tu???...
   
 9. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Inamaanisha wewe kwenye mahafali hukwenda?? Na hautakuja kwenda??
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Nilicho somea hatuvai hayo ma joho.
  Na kilaa mtu anamaliza kwa wakati tofauti.
   
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Afrodenzi we ni afande eeh teh teh natania
   
 12. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Whaooh ni chuo gani hicho mkuu? Ndo napata kuiskia hyo...
   
 13. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Inaezekana teh teh teh namim natania
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Nipigie Salute mkuu lol
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Basi kuna mengi bado hujasikia mkuu .
  Joho si kila kitu. Wenzako tulipomaliza
  Kusoma unapewa hongera zako hapo futa kazi .. baada ya mtihani wa mwisho..
   
 16. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Saluuuuute......! Nimekukubali...
   
 17. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #17
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hahahahahaha. Dahhh mi afande Siamini macho yangu ..
   
 18. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Ila nakubali si kila mahali unaposoma lazma uvae joho km ishara ya kumaliza...kwanza majoho siku hizi hadi chekechea yapo na thamani yake ndo kwishiney kabsaaaaaaaaaaaa
   
 19. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Lol, nadhani lingeisha kabisa na hata ningenunua jingine labda ndo lingebaki leso..
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kwa nini tu ulichagua afande?
   
Loading...