Habari zenu JF
Nimekuwa nikipitia uzi mbalimbali huku JF, pamoja na majarida mengine mbalimbali mitandaoni, na kugundua kuwa kuna utofauti mkubwa sana kati ya developers au tech companies inapofika kipindi cha kuthaminisha kazi inayoletwa na mteja. Hi ni moja ya sababu inayochangia kutokukua kwa hii industry yetu.
Wengi wetu ni mashahidi hata hapa JF, tumekuwa tukiona baadhi ya matangazo, mtu anatoa offer ya kutengeza mfumo hadi kwa Tsh 100,000/= ( Laki Moja Tu ), ambapo mfumo huo huo ( Similar Idea ), ukienda kwa kampuni nyingine, ata kuqoute 10M, 30M, 60M, au hata 200M+ . Mifano iko mingi na sio kwa upande wa software developement industry peke yake, kuna design, graphic etc. Ni juzi tu tumeona report ya CAG ikisema LOGO ya TPB ( Tanzania Postal Bank ), ilitengenezwa kwa zaid ya 400M ( Milioni Mia nne ), lakini naamini kuna watu wangefuatwa wangeweza ku-qoute hadi 50,000/= kwa Logo ya kiwango kile kile iliyotengenezwa.
Jukwaa hili linapitiwa na watu mbali mbali, wengi wetu wa industry ya tech na nyinginezo pia, wewe kama developer, designer au mdau wa maswala ya technolojia, kwa uzoefu wako, tuambie unatumia vigezo vipi kuthamini gharama za kazi yako, pale mteja anapokuletea kazi.
Tusaidiena mawazo ili kuboresha uwiano wa bei za kazi zetu, ili kusaidia kukuza industry ya technolojia ndani ya nchi yetu .!
Nawasilisha .!