ForeverMore
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 813
- 1,928
Unakuta bado watu wanalalamika serikali inatoa projects zifanywe na makampuni ya nje au investors na kuwaacha wazawa afu bado pia kuna wananchi wasiothamini hata uwezo wa watanzania wenzao kama ww.
Mbona bongo kuna developers wengi tu na wazuri, hao wahindi watoa tutorials sio kwamba wako vizuri saana zaidi yetu, sema tu hamtuamini, na kama ukizinguliwa na script kiddie mmoja we unadhan bongo developers wote tuko hivo, but mtaona tu umuhimu wetu in the near future.
Ishu ni hii, hao developers una wapata wapi? Wanaweza fanya project on Time? Bei zao zikoje? Maana developers wengi wanataka kutajirika kwenye project moja.
Yes lazima price iwe nzuri maana umetumia muda kusoma ila inachotakiwa ni uwezo wa kupata wateja wengi ili uwa charge kiasi kidogo. Ndo maana kuna vitu kama fiverr na ajiras.com. Lengo ni kutengeza sehemu ya wateja kuwapata developers na developers kupata wateja wengi ili gharama iwe ndogo.
Ila ndo hivyo hata mtu akijiunga kwenye ajiras, anataka malipo yafanyike nje ya system. Kisingizio eti watanzania hatujazoea mambo ya mtandaoni (ni kweli) lakini watozaoeaje bila kutumia system.
Developers wengine waoga ku commit time na price kama kwenye fiverr na ajiras.com
Najua bongo tuna watu wapo vizuri mno, yaani sana. Tatizo ni pakuwapata.