Wewe kaka wa JF njoo tujilockdown

Wewe kaka wa JF njoo tujilockdown

Hiyo (2) inaonesha mnajuana kitambo...kila la kheri
 
Neema ya njugu-mawe kavu,imemfikia asiye na meno.Hizi bahati hazinipatagi aisee .
 
Inaonekana huu ugonjwa ni mpya kabisa, kila siku watafiti wanakuja na kitu kipya, kuna hatari kubwa sana mbele yetu kwa kweli, lockdown ni muhimu sana

Sent
Inasemekana Watanzania wakikaa lockdown watakufa zaidi

Zoë the bosslady in town
 
Kwahiyo ni ID mbili au [emoji3][emoji3][emoji3]
.
If it wasn't a joke vigezo mbona Kama vimenigusa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom