BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,214
- 4,168
- Thread starter
- #81
....Potelea mbali utu uzima wake wa Miaka 54, Mkuu??Je mzee ana Sukari? Ninachoona hapa ni kuwa mama alikuwa anachepuka sana, pengine kwa muda mrefu, sasa kwa ugonjwa wa mzee anaona hashibi kabisa chakula cha ndoa, hivyo karudi kwa dada zake akashibishwe Tanga huko. Uwezekano ni mkubwa dada zake wana mjua mwanaume na huyo bwana yuko Tanga.
Nilidhani ni Wanaume tu ndio Hawazeeki katika mambo haya na Mzee wa miaka 70 anaweza kumtia mimba binti wa hata miaka 15....Kumbe wamama zetu wa karne hizi sasa wamecharuka kufukuzia Mikurunge hata wakiwa na Miaka 50??


