....Inawezekana Mkuu, lakini kuna la kufikirisha hapo...Mwanamke ana Miaka 54 hata Siku Zake zimekoma na tayari yupo kwenye 'Pumziko la Meno!

. Menopause, bado ana Genye kiasi cha Kutosa Watoto wake mwenyewe wa Kuzaa kufuata 'Kuni'??
Akili, Matope?
Miaka 54 ameziona ngapi??
Baba mdogo amekubali yaishe kwa kuona Xmkewe ni wa Kumhurumia tu hasa unapoangalia Historia ya ukoo Wao.... Ukiona Mabinti Sita wa Familia moja Wanaolewa na kisha kuachika kila mmoja kwa waKati wake Jua kuna Tatizo la Malezi hapo!! Epuka kujiingiza. Bahati Mbaya yake Baba Mdogo hakulijua hili...