Wewe Baba Yako Mdogo Angefanyaje?

Hao ni wanao au wa baba yako mdogo?
Maneno yako yana Ukweli, Mkuu. Mimi nimebakisha miezi miwili kufikisha Miaka Mitatu toka Wife afariki kwa ajali na kuniachia Wato Wstatu 29, 27, 24 na 21.
Kwa muda wote huo hata mara moja sijakaa katikati ya mapaja ya mwanamke na kukukuruka!
Na ninajisikiwa fresh tu.
Na katika muda huo pia nimeota na kuchafua shuka mara tatu nne tu...na Tatu ama Nne Kwa Wiki ninamkaa Bendera ipo Full Mlingoti na Maisha yanasonga.
Nimefahamu kuwa Watu huwa ni Kujiendekeza tu!
Ukiamua Unaweza Bila Matatizo yoyote.
 
Mbona inaeleweka ngoja ni summarize anamiaka 62 na mkewe 54 wameishi miaka 31 ya ndoa na kujaliwa watoto 4 wakwanza akiwa na miaka 29 ... sasa wameachana na mkewe nearly 3 years now, mkewe karudi kwao tanga anadanga tuu hana cha maana anachofanya?? Hakumbuki hata watoto wake nyuma
Afanyaje????
Mwanamke kakimbia kumuuguza Mumewe, Mume akifariki tu, Mwanamke atarudi Nyumbani!! Ni kuomba Mungu tu akujalie mwenza anaejitambuwa!!
 
Mbona inaeleweka ngoja ni summarize anamiaka 62 na mkewe 54 wameishi miaka 31 ya ndoa na kujaliwa watoto 4 wakwanza akiwa na miaka 29 ... sasa wameachana na mkewe nearly 3 years now, mkewe karudi kwao tanga anadanga tuu hana cha maana anachofanya?? Hakumbuki hata watoto wake nyuma
Afanyaje????
...Asante sana Mkuu Black Cofee kwa kuielewa nakuifupisha na kuifafanua mara moja!
Kichwa ni Chepesi zaidi ya ndugu zangu wanaosema wanaisoma lakini hawajailewe kitu!
Hapo ndipo Waafrika wengi tunapokwama! ....
 
Miaka 54 ya huyo mama bado hadi ana michepuko ? Kweli age is just a number lol, ilikua ni muda wa kutulia na kumuuguza mumewe na kusubiri wajukuu ila yeye analeta mambo ya ujana wakati ni mtu mzima.
....Kuna ndugu mpaka wanaingiza mambo ya Kiswahili!
Kwamba familia yao itakuwa imetupiwa kitu!!
Maana kwa hali ya kawaida familia yenye Mabinti Sita Waliiolewa, leo watano wameachika, inafikirisha kidogo.
Baba mdogo anasema kwa vile yeye sio Mwanaume wa kwa kuachwa na mabinti wa familia hiyo, ana Amani....!!
 
Ndio yale yale....when poverty enters through the door love escapes through the window. Jamani narudia tena wanawake hawapendi wanahitaji pesa na kuliwa mbususu tuu
Kweli Mkuu, Mkuu Mzabzab. Baba mdogo ni Shahidi wa hili! Ni maumivu.. !!
 
Hao ni wanao au wa baba yako mdogo?
....Wa Kwangu. Si ni nimeeleza hapo kMkuu. Mimi kwangu mamaa alifariki kwa ajali, mungu amrehemu, wa baba mdogo mama yao kaingia mitini....kwa extended familia zetu hizi za kibantu watoto kuzaliwa miaka inayofanana fanana sio jambo la ajabu sana, ukichukuliwa kuwa wstoto wa Baba mdogo ninaweza kuwa nimekosea kidogo umri wao...!!!
 
Nimejaribu kuelewa stori lakini wapi ..
..Pole mkuu Ii Tz, Hebu jaribu kurudia kuisoma mara mbili tatu ama soma summary ya mkuu black coffee, natumaini utaielewa. Mchango wako ni Muhimu, Mkuu!
 
Asalaam Alaykum na Shalom. Nina babayangu mdogo ambaye ni sasa ni Mstaafu.
Walifunga ndoa Bomani mwaka 1990. Wamejaliwa watoto Wanne, Binti Mmoja firstborn na wakiume Watatu...29, 27, 23 na 21.
Mwaka 2015 Baba yangu Mdogo akastafu na miaka miwili baada ya kustaafu Baba akapata Stroke na kisukari vilivyofanya kulala kitandani mwaka mzima.
Maisha yakawa magumu sana kiasi cha vijana watatu waliokuwa chuoni kulazimika kuacha vyuo na kuingia mitaani kubangaiza.
Katika hali hii kukaanza migongano kati ya yeye na wife wake ambayo haikuwepo kabla.

Katika migongano hii baba mdogo siku.moja akashangaa sana kupokea ujumbe kutoka kwa mkewe aliyekuwa amekwenda Vicoba ikimuambia " mimi narudi nyumbani usopige ama kutuma meseji mzee yupo"

Moja kwa moja Baba mdogo akajua kuwa meseji ile haikuwa yake bali kyale ya Mungu ya kutotaka Unafiki.
Akasubiri jioni hadi wamemaliza kula na kuanza kumhoji bibie kuhusu ile meseji. Mama akawa anazungusha zungusha tu maneno.
Baba mdogo akatishia kumtia adabu, mama akachoropa na kukimbilia kwa binti yao na kudai kuwa asingelala na baba mdogo siku ile maana anaogopa amngemdunda usiku!
Hapa bibie alikuwa anamzungumzia mume ambaye hakuwa hata kupiga kibao tu katika miaka 30 yao ya ndoa!

Baba mdogo akatia zake usingizi peke yake na maradhi yake.
Akashituka anagongewa mlango alfajiti na lastborn wao akimjulisha kuwa mama alikuwa ameondoka asubuhi subuhi na baadhi ya nguo zake zilizokuwa chumbani kwa Dada yao!
Baba mdogo anasema alijikuta akiangua kicheko akijua ni utani...kumbe ni kweli. Bibie alikuwa ameondoka nyumbani na kukimbilia kwa Tanga.

Baba mdogo akawa akipiga simu haipokelewi wala watoto wakifsnya hivyo.
Wiki moja baadaye akashangaa sana dada mkubwa mkewe akimtumia meseji ya kumuuliza kwa nini umemtishia kumkata mkeo na Panga kwa kumkuta na meseji isiyostahili mke wa Mtu!

Ikabidi baba mdogo aishie kutabasamu tu na kumuuliza shemeji yake kuwa katika miaka 31 ambayo wameishi na mdogo wake, huyo mdogo wake alishawahi kurudi kwao na kumuambia kuwa amepigwa kiba ama hata kufinywa tu na Mumewe??

Baba mdogo akazidi kumuuliza dada mtu kwa kwa jinsi anavyomuona baba mdogo ( enzi zake alikuwa mtu wa michezo sana pamoja na utu uzima wake wa miaka 62 bado amejazia jazia hata kama sio Miraba Minne basi angalau mitatu!) Kwamba pamoja na kuumwa kwake kama angetaka kumuadhibu mkewe angekuwa haja ya kushika panga ama fimbo au amngemshika tu mikono na kumchapa vibao viwili vitatu, jambo hata hakuliwazia. Achilia mbali kulifanya!

Nikatishe story isiwe ndefu mno. Ni mwaka wa Pili na Nusu sasa unaingia bibie yupo kwa dada zake tanga na amekataa kurudi kwake.
Hana Mawasiliano yoyote na Baba mdogo wala watoto wake ambao wote wanajua kilichoendelea na wameamua kulalia upande wa baba yao maana wanaona hana kosa lolote kwenye mtafaruku huu na ndio sasa wamebaki na kazi ya kumuuguza baba yao wakati mama akipuyanga huru kwao Tanga!

Mara kadhaa ndugu wamejaribu kuwakutanisha wenza wawili hawa lakini bibie hataki hata kusikia vikao vya namna hiyo.

Cha kudokeza hapa ni kuwa Shemeji ana dada zake Sita amba Watano wameishaschana na Waume zao na Wapo wapo tu Tanga.
Wazazi wao wote wawili wameishafariki wasi wapo huru bin free kuendesha maisha yao kadri wanavyojisikia,sifa yao kuu ikiwa ni kuwa michepuko ya Wanawake wenzao jijini Tanga!

Baba Mdogo amekubali kwa Amani yaishe. Anasema Mungu ndio alimleta bibie katka maisha yake, akawabariki kupata watoto wanne na miaka 31 ya ndoa ya Amani, kama mungu huyo huyo tena amegeuka na kumponya mkewe na kuwaacha watoto Wake **** kama Yatima wasiokuwa na Mama wakati Mama yao yupo hapo Uani tu Tanga....Ye afanyeje zaidi ya Kushukuru?
Anasema hana muda wa kumbembeleza Bibie arejee kwake na kwa watoto wake...anasema alimbeleza awe mkewe wakati wa Ujana wake, hawezi kuifanya tena hiyo kaziakiwa na miaka 62 na mkewe akiwa miaka 54 na baada ya kuishi Miaka 31 na kubarikiwa kupata watoto Wanne??

Nawauliza akina mama: hivi inafikiaje mwanamke akakaa hapo Tanga tu bila hata kuwajulia hali tu Watoto Wake Wanne aliozaa mwenyewe na amewaacha na baba yao mgonjwa na hajisumbui hata kuwa wish sikukuu njema yoyote?

Nawauliza Wanaume: katika Hali kama hii nyinyi Baba zenu Wadogo Wangefanyaje??
Mwalimu wangu wa primary siku moja alisema darasani, ukikuta familia Ina watoto wengi wa kike wapo nyumbani siyo sehemu nzuri ya kuoa utajuta sana baadaye.traditional marriage ilikuwa poa sana, lakini sasa hivi unakutana nao barabarani, shule,makazini ukiona matako, miguu shape nzuri unafikiri umepata kumbe umepatikana. Atavutiwa na pesa zako zikiisha hapo ndo unaona true color.
 
tupo weng nimerudia mara tatu hakuna daa huu andishi nomq
...Ile tu kwamba kunawengi wameilewa Story na hata kui sumarize Mkuu Kuuuu! Labda tu umeisoma haraka harska ama hukutaka tu kuilewa Mkuu!
Soma zSummari ya Mkuu Black Coffee halafu utoe mawazo yako kuhusu hili mkuu. Mchango unahitajika...
 
..Pole mkuu Ii Tz, Hebu jaribu kurudia kuisoma mara mbili tatu ama soma summary ya mkuu black coffee, natumaini utaielewa. Mchango wako ni Muhimu, Mkuu!
Asante sana mkuu nimeelewa summary ya mwamba hapo juu
 
Huyo mwanamke alikua chui muda tu alovaa ngozi ya kondoo sasa amechoka kupretend. Wamuache tu aishi maisha ayatakayo uzee ukimshika au maradhi ndio akili zitamrudia.

Na niwapongeze watoto kwa kuweza kujua yupi mkosaji na kuamua kusimama na baba yao. Watoto wengi hua hawajali kubalance story moja kwa moja wangemuona mzee wao mbaya anataka kumuua mama na mwisho wangemchukia mzee.
nimepotea mkuu.sijajua mtu mwenye stroke anawezaje kuriamsha dude la namna hiyo.

By the way,huyo mama kuna huduma mhimu anaikosa hapo kwa mzee.umeshasema ana stroke na kisukari.
 
Back
Top Bottom