Wewe Baba Yako Mdogo Angefanyaje?

Wewe Baba Yako Mdogo Angefanyaje?

Duuh kuna watu wana vichwa aisee yani hawajaelewa hii story et...

Niseme tu jasiri haachi asiri, miaka 54 tena mwanamke mwenye mitoto mikubwa kabisa hata aibu wala kujistukia hamna. Ajitahidi walau awe anawapa hi hata kinafki tu.
 
nimepotea mkuu.sijajua mtu mwenye stroke anawezaje kuriamsha dude la namna hiyo.

By the way,huyo mama kuna huduma mhimu anaikosa hapo kwa mzee.umeshasema ana stroke na kisukari.
....Inawezekana Mkuu. Lakini pamoja na kuwa na Miaka 54 'huduma' hiyo iwe ni moja ya sababu za kuitafuta nje kiasi cha kuitosa familia yake aliyoishi nayo kwa zaidi ya Nusu ya maisha yake hapa Duniani?
Genye tu?...mmmmm, inawezekana...!
 
Duuh kuna watu wana vichwa aisee yani hawajaelewa hii story et...

Niseme tu jasiri haachi asiri, miaka 54 tena mwanamke mwenye mitoto mikubwa kabisa hata aibu wala kujistukia hamna. Ajitahidi walau awe anawapa hi hata kinafki tu.
...Ndio anachoshangaa baba yangu mdogo. Ameanza hata kuamini baadhi ya ndugu wanaposema 'Sio Bure, atakuwa Amerogwa Mkeo!'....
 
Huyo mwanamke alikua chui muda tu alovaa ngozi ya kondoo sasa amechoka kupretend. Wamuache tu aishi maisha ayatakayo uzee ukimshika au maradhi ndio akili zitamrudia.

Na niwapongeze watoto kwa kuweza kujua yupi mkosaji na kuamua kusimama na baba yao. Watoto wengi hua hawajali kubalance story moja kwa moja wangemuona mzee wao mbaya anataka kumuua mama na mwisho wangemchukia mzee.
So sad
 
Amechoka kuficha rangi yake halisi. Ukweli ulio wazi ni kwamba mzee alivumilia mengi wakati wa ndoa yake. Inawezekana kazi na kupato chake ndivyo vimelea ndoa hiyo.

Shukuru Mungu kwa kila kitu, huenda mama huyo kubaki kwake kungekuwa chanzo cha kumpoteza baba huyo mapema na kisingizio ingekuwa hali yake ya afya kumbe ni mkono wa mtu na huenda familia isingekijua hilo.

Kuna watu ndoa siyo kipaumbele kwao, ila wanaingia kwenye ndoa ili kupata unafuu wa changamoto za maisha na kusaidia familia zao.
 
Miaka 54 ya huyo mama bado hadi ana michepuko ? Kweli age is just a number lol, ilikua ni muda wa kutulia na kumuuguza mumewe na kusubiri wajukuu ila yeye analeta mambo ya ujana wakati ni mtu mzima.🤔
Nyie kina mama mna akili basi......
unaweza kuta unainamishwa na boda boda....
unamuacha mumeo
sio ww nimetoa tu mfano.....
Lkn hata we unaweza kuwepo
 
Unasema wamekuwa michepuko wa wanawake wenzao Ina Maana wanasagwa ama?
Mbona inaeleweka ngoja ni summarize anamiaka 62 na mkewe 54 wameishi miaka 31 ya ndoa na kujaliwa watoto 4 wakwanza akiwa na miaka 29 ... sasa wameachana na mkewe nearly 3 years now, mkewe karudi kwao tanga anadanga tuu hana cha maana anachofanya?? Hakumbuki hata watoto wake nyuma
Afanyaje????
J
 
Kwenye familia zetu hizi kuna mambo mengi sana,huwezi jua ukute kuna influence ya mambo ya kimila o kishirikina we unadhani ni sawa wanawake wote 6 kwenye familia moja waachike
 
Kwenye familia zetu hizi kuna mambo mengi sana,huwezi jua ukute kuna influence ya mambo ya kimila o kishirikina we unadhani ni sawa wanawake wote 6 kwenye familia moja waachike
Ni kweli Mkuu Unforgetable. Tatizo limeanzia Mbali.
Hawa mama yao ailikuwa mke mkubwa kwenye Ndoa ya Ukewenza.
Unajua ndo za Ukewenza zinavyokuwa. Imani zipo kwamba Wake wale walikuwa wakifanyiziana kwa watoto wao kila moja akitaka aonekane Uzao wake ndio Bora. Ukiyaamini mambo haya, utaona kuwa yapo lakini wakati mwingine ni Shauri ya Malezi tu!
 
Pole yao sana...
Ubinadamu kazi sana...
Usikute anawasiliana na watoto zake na kuwaambia wasimwambie baba yao au mtu yoyote...
 
Pole yao sana...
Ubinadamu kazi sana...
Usikute anawasiliana na watoto zake na kuwaambia wasimwambie baba yao au mtu yoyote...
...mmm, Sijui, lakini sio siri kuwa watoto wanajitambua na wanampenda sana baba yao na wako pamoja katika maumivu haya!!
Sio rahisi kumgeuka!
 
Kiapo cha ndoa kinasema mtaishi kwa shida na raha.

Baadhi ya Wanawake huwa wanashindwa kuishi kwenye kipengele cha shida. Kwenye kipindi cha shida ndio tabia zao halisi huonekana. Hivyo alichokifanya Mke hutokea sana kwa wale ambao waume zao ni wagonjwa wa muda mrefu au walioachishwa kazi hivyo simshangai. Ila wanaume wanaofanyiwaga hivi huwa wakipona au wakija kupata kazi 'Revenge' zao huwa sio za kitoto maana huwa wanapataga machungu sana.

Halafu kwa umri wa hao Watoto mbona ni wakubwa tu!. Wanatakiwa waanze kujitegemea na wamsaidie Baba yao, huyo wa kike nae ana umri wa kuchumbiwa.
 
Mkuu sitaki matusi ujue, nani anaweza kuwepo sasa? Ntakuzingua , Wanawake wengi tu wanajiheshimu bana, ni hao wachache tu vichwa vibovu usigeneralize.
Ha ha Haaa.....
nikitakaga kukuchokoza (tunaita kutoa nyoka pangoni)......
kuna tu thread flani lazima nikuchape nato...
unaruka juu kama masai kisha mm napita vile....
jpili njema.......
 
Back
Top Bottom