weusi mapajani kwa kina dada

but according to my xperience hii inawakumba hasa watu wanene/wenye nyama nyingi...so i thnk to reduce body weight nayo ni approach mojawapo.
 
Dawa ninayo nitakusaidia, uwe mweupe mapajani cjui unataka umuonyeshe nani wakati unayafunika na nguo, au unataka kutembea uchi nini?? Nakuerekeza dawa chukua nyasi kavu nyingi zichome moto kisha jibabue mapajani halafu itaota ngozi mpya, acha ushamba mtu wangu mngu kakupa hiyo langi, ungezaliwa kwa wagogo basi au kondoa!!!!!!!!!!!!

Acha utoto wewe, unakurupuka tu wakati hujui tatizo lililoulizwa.
 
Mwenzio ana matatizo tunajaribu kumpa ushauri, wewe unaleta masihalla na afya za watu!! Acaha utoto,jaribu kukua.

utoto ni huo uliondika hapo,
kila kitu cheusi sio fungus jaribu kuwaza nje ya box...
na sio fungus iyo...huna utafiti huna haki ya kuzungumza braza/dada
 
Dawa ninayo nitakusaidia, uwe mweupe mapajani cjui unataka umuonyeshe nani wakati unayafunika na nguo, au unataka kutembea uchi nini?? Nakuerekeza dawa chukua nyasi kavu nyingi zichome moto kisha jibabue mapajani halafu itaota ngozi mpya, acha ushamba mtu wangu mngu kakupa hiyo langi, ungezaliwa kwa wagogo basi au kondoa!!!!!!!!!!!!
Hahahahahahahagahaha!! Mbav zangu mie
 
Back
Top Bottom