Werema unatudhalilisha wanasheria

Werema unatudhalilisha wanasheria

Mambo anayofanya Jaji Werema yanaenyesha taaluma ya sheria inakufa. Werema badala ya kutoa arguments za kisheria anajikita kwenye ushabiki wa CCM. Hatukatai kulinda maslahi ya aliyemuweka madarakani lakini ilitakiwa aonyeshe uvumilivu kama mwanasheria aliyeiva. Inatia mashaka hata judgments zake akiwa kwenye bench kama zilikuwa na sababu za kisheria. Kama judge acha ushabiki wa akina Mwigulu na Lukuvi, kwa sasa Lukuvi na Form iv yake anaonekana kuwa na akili kuliko Judge.

Hivi wanasheria wote wako kama huyo. Duhh, hii hatari, Halafu kakutana na naibu spika mwongo.
 
Mambo anayofanya Jaji Werema yanaenyesha taaluma ya sheria inakufa. Werema badala ya kutoa arguments za kisheria anajikita kwenye ushabiki wa CCM. Hatukatai kulinda maslahi ya aliyemuweka madarakani lakini ilitakiwa aonyeshe uvumilivu kama mwanasheria aliyeiva. Inatia mashaka hata judgments zake akiwa kwenye bench kama zilikuwa na sababu za kisheria. Kama judge acha ushabiki wa akina Mwigulu na Lukuvi, kwa sasa Lukuvi na Form iv yake anaonekana kuwa na akili kuliko Judge.

Mkuu inafurahisha kumsikia mwanasheria mkuu wa serikali akitoa mipasho kama ya hayati Juma Balo. Ni lazima atoe mipasho kama hiyo kumfurahisha "BWANAE". MAGAMBA ni "wachawi". Ukiwa ndani ya MAGAMBA hata usomi unapotea. Hujawahi kuona Mtumishi wa duka la Mhindi akiwa mkali kwa bei kuliko hata mwenye duka mwenyewe?
 
mambo anayofanya jaji werema yanaenyesha taaluma ya sheria inakufa. Werema badala ya kutoa arguments za kisheria anajikita kwenye ushabiki wa ccm. Hatukatai kulinda maslahi ya aliyemuweka madarakani lakini ilitakiwa aonyeshe uvumilivu kama mwanasheria aliyeiva. Inatia mashaka hata judgments zake akiwa kwenye bench kama zilikuwa na sababu za kisheria. Kama judge acha ushabiki wa akina mwigulu na lukuvi, kwa sasa lukuvi na form iv yake anaonekana kuwa na akili kuliko judge.


jamani mnashangaa hilo, mbona mikataba inayoingiwa na serikali ya kulipwa mirahaba ya 3% si ni kazi ya wanasheria kama huyo......haaa haaaa, hakuna kitu pole ni boya....tu
 
Kila siku naamin ta tizo la hao magamba ni shule za kuunga unga,,! Uwezi kuwa na mwana shelia kama uyo,asiye jua sheria,then ukamkutanisha na kilaza mwenzake J.B,ukategemea chochote! Tupewe educational back ground yake,unaweza kuta katumia vye ti vya mke/shemeji yake kuupata uo uana sheria uchwala!!
 
Back
Top Bottom