Mabatini sehemu gani??? Kleruu, line polisi au Nyakabungo??????
my hubby watu8 is my brother from another mother
mi nakutazama tu.....ukileta fujo nitakutafutia Bakari Mambeya au Jimmy Master wakukaribishe uzuri Tanga...au nikiwakosa hao nitaenda kumtafuta Muddy Faki wa stendi ya Bembea barabara ya 12 pale.
Leta maneno maneno mengi...kesho ntakuwa tanga kukagua njia mtazopita ...nakuangalia makoloni yangu.
Mh.... umepajuaje Daddy????? 😕
Hyo safari mnataka niivunje vunje...
shidwa pepo!!!
daddy alikua anatafuta jimbo la uchaguzi...pande za huko!!!
Hyo safari mnataka niivunje vunje...
nina mke na watoto sita, naruhusiwa kuwajoin kwenye safari ya Tanga?
Vipi kwa sisi tunaotokea Mwanza ?
na wao wapo JF?
atakuwa anatembea nao kwenye mkanda wa sarawili.
Mzima lakini? Nimekukosa sana.
mie mzima....wewe si unajificha wakati wenzio twakutana
mbona nshasema, tanga mie ndo mwenyeji wenu. Ila naenda na chopper, si unajua tena Paw mutu kubwa, anasema barabara zimeharibika sananadiversions na bumps zinamkera.