Wenzie wapo Davos. Yeye kajificha

Wenzie wapo Davos. Yeye kajificha

View attachment 3532351

Ule muda wa Davos umefika.

Viongozi mbalimbali duniani wako huko.

Neno la muhimu hapo ni “viongozi”.

Sasa, huyu mtawala wetu ambaye ni haramu, naye ataenda au keshaenda?

Au ndo kajificha huko anakojifichaga?

Alipoingia kwenye utawala alikuwa anapenda sana kwenda Ulaya na Marekani kuuza sura kwa kisingizio cha kuifungua nchi.

Ila baada ya kutuonyesha rangi zake halisi [uuaji na ukatili wa hali ya juu], sasa hivi kawa pariah.

Anajificha. Anaongea mambo ya ajabu ajabu. Leo anasema hiki, keshokutwa anasema kingine kinachokinzana na alichosema juzi.

Hiyo hali ni dalili ya mtu kuchanganyikiwa kichwani.

Endapo kaenda huko Davos, atakayemwona atustue……
KAHABA NI NGUMU KUPELEKA KIJAMBIO CHAKE HUKO
 
Hii nayo ni makala ya kipimbi tu inayotupotezea muda. Katika marais 54+ wa Afrika waliokwenda ni 3 tu:-

Marais wa Afrika waliohudhuria/ wanatarajiwa kuhudhuria:
DRC — Félix Tshisekedi
Mozambique — Daniel Francisco Chapo
Misri — Abdel Fattah al-Sisi

Kwa hiyo Samia Suluhu na hao wengine 51 ambao hawajakwenda wote ni waoga na wanaishi kwa kujificha??

Hiyo ndiyo Kiranga anaita Non Sequitur logical fallacy
Wewe chawa a.k.a chyocko wa abdul acha kujipendekeza kwa Kiranga . Nani asiyejua kuwa bi chura kwa sasa anaogopa kutoka nje ya nchi?
 
Ameenda
 
Kwani unadhani ukiniita chawa ndiyo utaondoa uhuru wangu wa mawazo? Nimenukuu usemi wa Kiranga kwa kuwa ndiye wa kwanza kuutumia humu, shida iko wapi??
 
Anaswali swala tano lazima aone aibu.
 
Kwani unadhani ukiniita chawa ndiyo utaondoa uhuru wangu wa mawazo? Nimenukuu usemi wa Kiranga kwa kuwa ndiye wa kwanza kuutumia humu, shida iko wapi??
Toka lini chawa akawa na uhuru wa mawazo?!
Ukishakuwa chawa unakuwa kama kasuku chochote bwana ako anachosema na wewe unasema hivyo hivyo hakuna kuhoji hata kama amesema ujinga!.
 
Hii nayo ni makala ya kipimbi tu inayotupotezea muda. Katika marais 54+ wa Afrika waliokwenda ni 3 tu:-

Marais wa Afrika waliohudhuria/ wanatarajiwa kuhudhuria:
DRC — Félix Tshisekedi
Mozambique — Daniel Francisco Chapo
Misri — Abdel Fattah al-Sisi

Kwa hiyo Samia Suluhu na hao wengine 51 ambao hawajakwenda wote ni waoga na wanaishi kwa kujificha??

Hiyo ndiyo Kiranga anaita Non Sequitur logical fallacy
Haters wa Samia wameishiwa mkuu, mama amewakabia juu mpaka wanakosa pumzi........Sasa ndo nini' hiki?!!!! Inaelekea mleta mada na vichinda vinavyomuunga mkono wapo nyuma kidogo ya wakati.
 
Back
Top Bottom