Wenzetu mliepuka vipi Kikombe cha UJOBLESS ?

Mimi24

Member
Nov 11, 2018
75
125
Wadau mliopata kazi au hata biashara ndogo ndogo ambazo zinawapa japo visenti mbili vya kutatua shida za kimaisha mlitumia mbinu ipi ? Kukwepa kikombe hiki kigumu cha kuwa JOBLESS?
Maana tukiwaza kufanya biashara mitaji bado changamoto, tukijaribu kuomba nafasi za kazi hatuitwi hata kwa interview , shida sijui nyota au hamna marefa. Tupeni mbinu na sisi tufate kukikwepa ichi kikombe cha adhabu ya kuwa jobless .
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
13,495
2,000
Man sinlazima uanze kwa kuajiriwa. Kwanza change mindset yako. Kubali kufanya kaziza kawaida. Mshahara wa chini.

Pili kupata kazi bonge ni mchanganyiko wa juhudi binafsi na connection. Trust me man, hiv huwa vinaenda pamoja. So jitahidi kuwa social na watu , haswa wenye vyeo ambao wako kwenye mashirika makubwa..
Serikalini.. then unaweza watumia kama asset kupitia wao ukatoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kapyungu A

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
3,507
2,000
Kwamfano kazi yako ya kwanza unataka mshahara shilingi ngapi????

Kazi yangu ya kwanza nilifanya kwa kulipwa 150K ya nauli tu kwa mwaka mzima.

Nilikuwa nikitoka kazini naenda kubeba viroba vya unga huko viwandani. Mzee kazi haiji kama malaika. Onyesha watu kuwa unajituma na unauthubutu. Huko utaonana na watu wengi sana. Nilifanya hivi kuongeza kipato angalau nionekane mwanaume hapa town. Otherwise ningekimbia dakika ya kwanza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
11,615
2,000
Wadau mliopata kazi au hata biashara ndogo ndogo ambazo zinawapa japo visenti mbili vya kutatua shida za kimaisha mlitumia mbinu ipi ? Kukwepa kikombe hiki kigumu cha kuwa JOBLESS?
Maana tukiwaza kufanya biashara mitaji bado changamoto, tukijaribu kuomba nafasi za kazi hatuitwi hata kwa interview , shida sijui nyota au hamna marefa. Tupeni mbinu na sisi tufate kukikwepa ichi kikombe cha adhabu ya kuwa jobless .
Nilienda mkoa ambao hawajui level of education yangu nikawa saidia fundi then nikapata mtaji wa kununua machine ya kufyatulia matofali nikafungua site then hapo hapo site nikajuana na mzee fulani mkuu jeshini akanipa mchongo leo hii nipo kitengoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom