Wenzetu mliepuka vipi Kikombe cha UJOBLESS ?

Nikerejea kwene swali la mtoa Mada, "wenzetu mlikiepuka vipi kikombe cha Ujobless"

U jobless??........U jobless!
Ujobless kwanza sio sifa nzuri kuwa "Jobless" , Jobless kwa dhima ya kiafrika ni mtu aliekidhi vigezo kufanya kazi halafu akachagua kwa makusudi kabisa kutokufanya kaz.

Nikija kwa neno "kikombe" ," kukiepuka kikombe" Kwa wale wasomaji wa biblia mtakumbuka huu msemo aliutumia Yesu,kumuomba Mungu,akimaanisha kwamba "matatizo Yale Yasifikie hatua,iliyokuwa inatakiwa ifike kwa maana mateso makali" (hiyo ni tafsiri yangu)
Sasa basi ndugu mtoa mada, huoni kwamba swali lako ilitakiwa ulitengeneze namna hii, "Wenzetu hichi kikombe cha 'ujobless' kiliwezaje kuwaepuka?"

Kwa mantiki hizo hapo juu,Ningependa kukujibu kuwa " Ujobless" Ni tabia,tena ni tabia ambayo ni mbaya,sio sifa nzuri, ni utovu wa nidhamu ukijikuta "kikombe cha ujobless kimeshindwa kukuepuka" Ujue ni matokeo ya kufuga UVIVU,

Nini kifanyike? Jizoeze tabia ya kutokuwa MVIVU,kikombe cha Ujobless kitakuepuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uvivu kivipi mkuu
 
Kubali kuanzia chini

Tatizo la wasomi wengi (Nikiri hata mm hili tatizo nilikuwa nalo) hawataki kuanzia chini, wakifkiria kujiajiri tu utawaona hao wanawaza mamilioni unakuta mtu hata kumi hana

Kubali kuanzia chini pambana taratibu ukiiheshimu Kazi yako, hakika utakuwa na mafanikio badae

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea logic Kubwa mno....hongera kwa ku-note hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brother jitolee na mwombe Mungu , ishi na Watu vizuri , zitakuja tu . Mimi baada ya mwezi kutoka chuo nilipata kazi 3 moja ya connection mbili za kuhustle. Zote nilipata. Sio kwamba nimeomba zaidi ya wengine, ni neema tu ya Mungu, subiri zamu yako
 
Lakini mkuu ata hizo zimekua ngumu sikuhizi
Wale waliopo kazini wanachukulia life la mtaa simple sana,.kwa vile wana base tayari na wana uwezo wa kuwasha magari wakaenda ofisini na kuishi comfortably. Mtu kama huyu ukimuondoa kwenye system leo aje aanze kupanga vipande vya mananasi mezani utaona kama hatamaliza mwaka akiwa ndani anajifikiria tu.
 
Ni kweli.
 
Sorry unaweza kufafanua iyo opportunity
Tanzania na ulimwengu ulivyo kwa sasa, watu wenye ujuzi au elimu wapo wengi lakini ajira hakuna.

Ila, watu wanao hitaji ujuzi wako wapo wengi pia. Kuna ofisi na kampuni nyingi ambazo hazina uwezo wa kukuajiri full time ila wanahitaji huduma yako.

Wanachofanya ni kumwita mtu muda wanao muhitaji. Unapiga kazi, unachukua chako unaondoka.

Tatizo lilipo ni wanakupata wapi? Hapo ndo mtandao kama ajiras.com unapo saidia.

Wewe unajiunga, bure na kupost kazi unazoweza kufanya na bei zako. Watu wanaohitaji huduma yako, wanakupata pale. Mnaweza chat, na pia unaweza mpa bei tofauti kulingana na ukubwa wa kazi yake.

Mkikubaliana, unapiga kazi. Ni njia ambayo wenzetu wanaitumia sana. Pia kwa wale walio ajiriwa kupata extra income maana mishahara haitoshi.

Site kama ajiras.com inaruhusu kazi yoyote. Ukienda utaona baadhi ya kazi watu walizoweka.

Pia inaruhusu muhitaji huduma kuweza kupost huduma anayoitaka, na watoa huduma wata bid na kukupa bei zao.

Nimekuelewa mkuu, ahsante kwa taarif, nitalifanyia kazi
 
Kuna kipindi nilikuwa nikiangalia yale magorofa ya posta nikawa najiuliza hivi inakuwaje kuwaje mpaka mtu anapata kazi kule juu. Asee ilipofika wakati wangu nikaanza kubadili ofisi za magorofani mara kwa mara. Wakati wako ukifika haitazidi hata sekunde. Cha muhimu ni kutokata tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa wakati tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anza chini angalia kazi yoyote elimu isiwe kikwazo kwako kwenye ku strugle katika life sema iwe kama tool ya kukufikisha unapopataka kwa ufanisi.
Sisi wengi degree imekuja kutuzibia wenyewe fursa kwa mindset zetu mi msomi siwezi fanya hili watu watanionaje bro piga kazi ili mradi uwe na malengo ya kufika sehemu flani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kuomba Mungu tu! Utapata kazi mkuu...kama usipopata kazi ya kuajiriwa atakufungua akili upate kuanzisha kitega uchumi chako. Kikubwa usikate tamaa..mtegemee Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikerejea kwene swali la mtoa Mada, "wenzetu mlikiepuka vipi kikombe cha Ujobless"

U jobless??........U jobless!
Ujobless kwanza sio sifa nzuri kuwa "Jobless" , Jobless kwa dhima ya kiafrika ni mtu aliekidhi vigezo kufanya kazi halafu akachagua kwa makusudi kabisa kutokufanya kaz.

Nikija kwa neno "kikombe" ," kukiepuka kikombe" Kwa wale wasomaji wa biblia mtakumbuka huu msemo aliutumia Yesu,kumuomba Mungu,akimaanisha kwamba "matatizo Yale Yasifikie hatua,iliyokuwa inatakiwa ifike kwa maana mateso makali" (hiyo ni tafsiri yangu)
Sasa basi ndugu mtoa mada, huoni kwamba swali lako ilitakiwa ulitengeneze namna hii, "Wenzetu hichi kikombe cha 'ujobless' kiliwezaje kuwaepuka?"

Kwa mantiki hizo hapo juu,Ningependa kukujibu kuwa " Ujobless" Ni tabia,tena ni tabia ambayo ni mbaya,sio sifa nzuri, ni utovu wa nidhamu ukijikuta "kikombe cha ujobless kimeshindwa kukuepuka" Ujue ni matokeo ya kufuga UVIVU,

Nini kifanyike? Jizoeze tabia ya kutokuwa MVIVU,kikombe cha Ujobless kitakuepuka.

Sent using Jamii Forums mobile app

Maisha yako yatakuwa very complicated, jamaa kauliza a simple question, umekuja na macomplications kibaoo kama Neuro surgery.
 
Wabongo bhana mimi mwenyewe nimeshangaa anaeleza jinsi mwenye shida angeuliza vip ili atatuliwe shida yake wakati muuliza swali kaeleweka kabisa...
 
Wadau mliopata kazi au hata biashara ndogo ndogo ambazo zinawapa japo visenti mbili vya kutatua shida za kimaisha mlitumia mbinu ipi ? Kukwepa kikombe hiki kigumu cha kuwa JOBLESS?
Maana tukiwaza kufanya biashara mitaji bado changamoto, tukijaribu kuomba nafasi za kazi hatuitwi hata kwa interview , shida sijui nyota au hamna marefa. Tupeni mbinu na sisi tufate kukikwepa ichi kikombe cha adhabu ya kuwa jobless .
Tunaopatikana Mwanza tufanye namna tuonane tupange mikakati na namna ya kukabiliana na hili tatizo
 
Back
Top Bottom